Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

TRA wana sababu za msingi kuweka valuation na hizo ni minimum price ikitokea CIF ya invoice yako iko
chini ya bei yao. Let say mtu mkoko wake wa zaman i for free na gharama yako ikawa ni freight na Insurance
then kwa TRA kupata thamani ya kukutoza kodi lazima wawe na estimate au valuation ya gari husika.

IPSUM 2004.
Kwa mujibu wa TRA Value ya gari hiyo ikiwa mpya kabisa ni US$ 25,014 (Retail Prece) ambapo assumption ni kuwa
bei ina Profit Margin 25%, Import Duty 25% Excise Duty 5% na VAT 18%.
Vyote Hivyo utaviondoa, na mathematically utapata US$ 12,920
Kwa gari ya mwaka 2004, ie umri zaidi ya miaka 9 lakini chini ya miaka 10 linachukuliwa kupungua thamani
kwa 70%. Kwa hiyo itakuwa imebaki na thamani ya 30%
kwa hiyo itakuwa na thamani ya US$ 3,876 (Custom Value - CV)
KODI
Import Duty (ID) 25% of CV US$ 969
Excise Duty 5% of (CV+ID) 242
VAT 18% of (CV+ID+ ED) 916
Total Tax and Duty 2,217
Exchange Rate itakuwa ya siku unayolipia/Assessiwa
Andaa not less tha TZS 500,000 kwa ajili ya clearing agent,
Port Charge, Documentation fee, Fire etc

Mdau

kaka you have break it down well lakin sijakuelewa hapo kwenye Custom Value..umeipataje pataje hyo $ 12,920 from $25,014 ambayo ndo retail selling price...unazidisha the retail price na depreciation au..???what is that you do to exactly to get the Custom Value..if you would break it down in a formulae it would be very helpful..Thank you🙂
 
TOTAL PRICE = FOB Price + Shipping Cost + Insurance + Inspect + CertificationTotal Price 3,422 USD[TABLE="class: stock_table, width: 94%"]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Registration[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]2001/05[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Make[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]TOYOTA[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Car[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]Corolla Runx,Allex[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Model[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]NZE124[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Mileage[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]90,721[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Engine Size[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]1,500[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Fuel[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]Petrol[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Body Color[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]Silver[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Transmission[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]Automatic[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Doors[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Seats[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]5[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Drive[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]4wheel[/TD]
[/TR]
[TR="class: fs12, bgcolor: transparent"]
[TH="bgcolor: transparent"]Steering[/TH]
[TD="bgcolor: transparent"]Right[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

can someone tell me tax itakuwa ngapi kwa hili gari?? it is urgent nahitaji kuorder??
 
Jaman na mimi mnisaidie nimeagiza Nissan Caravan wakanipa valuation ambayo ipo juu sana zaidi ya iliyo kwenye system yao eti wana fikiria ina viti na sio caravan...wakakataa kulipia mpaka gari ishuke waione..sasa hii si ndio kuanza kulazimishana kulipia storage charges?
 
kaka you have break it down well lakin sijakuelewa hapo kwenye Custom Value..umeipataje pataje hyo $ 12,920 from $25,014 ambayo ndo retail selling price...unazidisha the retail price na depreciation au..???what is that you do to exactly to get the Custom Value..if you would break it down in a formulae it would be very helpful..Thank you🙂

[TABLE="width: 631"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Ni kwamba gari ikiwa jipya retail price ni
[/TD]
[TD]$25,014
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Retail Price ina kuwa assumed kuwa loaded na Vifuatavyo
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Profit margin
[/TD]
[TD="align: right"]25%
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Import Duty
[/TD]
[TD="align: right"]25%
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Excise Duty - lesss than 2000 cc
[/TD]
[TD="align: right"]5%
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]VAT
[/TD]
[TD="align: right"]18%
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Kama uko vizuri kwenye math, unatakiwa kuondoa hivyo vitu
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]ili kupata CIF Value gari ikiwa mpya, i.e kabla ya kuwa loaded na
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]na hizo items nne hapo juu
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]A
[/TD]
[TD]Assume Value yake ni X
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1x
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]B
[/TD]
[TD]Import Duty Itakuwa
[/TD]
[TD]0.25x
[/TD]
[TD]0.25x
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]C
[/TD]
[TD]Excise Duty Itakuwa
[/TD]
[TD](x+0.25x)*0.05
[/TD]
[TD]0.0625x
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D
[/TD]
[TD]VAT
[/TD]
[TD](x+0.25x+0.0625x)*0.18
[/TD]
[TD]0.23625x
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]E
[/TD]
[TD]Profit Margin 25%
[/TD]
[TD](x+0.25x+0.0625x+0.23625x)*0.25
[/TD]
[TD]0.3871875x
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Summation of A to E equal Retail price
[/TD]
[TD]A+B+C+D+E=25014
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Find X,
[/TD]
[TD]x+0.25x+0.0625x+0.23625x+0.3871875x=25014
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]1.9359375x=25014
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]x=25014/1.9359375
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]x=12920.89
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]X, the CIF value while new ( Brand new)
[/TD]
[TD] $ 12,920.87
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Kwa sasa gari imedepreciate by 70% na
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]themani iliyobaki ni only 30% of CIF
[/TD]
[TD] $ 3,876.26
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 2"]Hope this will Help. Cheers
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Attachments

Nyuzi nzuri sana naomba mtu wa TRA. anijuze RAUM. TOYOTA. 2004. Ushuru ngapi naomba jibu kabla gari haijafika ili nijipange
 
Tuache kulalamika. Tulipe kodi kwa manufaa ya nchi yetu. Mjenga Tanzania ni Mtanzania mwenyewe.
 
Jamani mi nataka kujuzwa...kwani izo bei ni nani hasa pale TRA ndo wanazipanga...coz mnaweza lalamikia staffs wote kumbe kuna mijitu imeamua tu kukomoa watz...
 
Kwanini bidhaa Uganda na kenya ni bei rahisi sana wakati Tanzania tuna bandari Uganda hawana?
 
Mzalendo na familia yangu na marafiki wa maendeleo ila sio hao mafisadi wanaojilimbikzia mali na kuzani wataishi duniani milele daima!Yaani ni hvi huo ni ufala na tukigundua jinsi ya kuikwepa tutakwepa tu inauma sanaaaa kazi kufanya dhuluma na kuwanyanyasa wasio na uwezo.
 
Mimi si mtaalam wa masuala ya kodi, lakini haiwezekani gari ya 2005, cc3100 niinunue na kuifikisha DAR kwa Sh18M, halafu niilipie kodi zinazofika 22M!!!!!!....insane!

Call them s@h$t, kazi ubabe.
 
Sasaa Mimi nimeagiza gari aina ya Suzuki grand escudo ya mwaka 2001,engine size 2730cc, total price 4196$(shipping cost+inspectio+insurance included).... je TRA hapo nitawapa kiasi gani??
 
GUYS NAOMBA KUENDELEZA MADA, mimi leo nimelipia gari aina ya Toyota Sienta ya mwaka 2005 from Beforward, kwa mwenye kufahamu ushuru wake hata roughly tu naomba anifahamishe. Gar ndio inapakiwa kwenye meli soon.
 
Naomba msaada wa kuelekezwa kuhusu TRA calculator,pale kwenye Current retail selling price,ni bei ya gari hapa Tanzania au ni kitu gani tunajaza?Then FOB value mbona kama tayari ukijaza juu tu inatokea?Msaada please,nataka kuelewa hii kitu!!Natanguliza shukrani!!
 
Au nisaidieni hili!!Nissan X traiL,manufacture Year 2003,FOB USD 3000,KODI NI KIASI GANI NTALIPA?
 
Habari wana JF, Naomba mnisaidie gharama halisi ya kodi ntakayolipa kwa kuagiza gari kutoka Japani, Toyota Voltz ya mwaka 2003 kwa dola 3,423 (FOB Price + Shipping Cost + Insurance + Inspect + Cert). Gari hii ikifika hapa kwetu Bongo ushuru wake utakuwa shilingi ngapi? naomba watu wa TRA mliopo humu mnisaidie kujua gharama halisi maana Calculator iliyopo kwenye website ya TRA haitoi majibu halisi hii ni kwa uzoefu wa jamaa yangu kuitumia hiyo calculator na baada ya gari kufika akakuta gharama ni tofauti kabisa. Msaada tafadhari.
 
Motor vehicles with Import duty ,Excise Duty
and VAT but aged more than 10 years
Vehicles with more than 1000cc but not
exceeding 2000cc rate is 5% Excise duty,
and those with more than 2000cc rate is
10%
I/D = CIF * 25%
EXA = (CIF+I/D) * 20%
EX = (CIF+I/D) * 5%
VAT = (CIF+I/D+EXA+EX) * 18%
 
Back
Top Bottom