Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

Huyu anatupanga huyo anayemfanyia uchawa hana kichwa cha kupata phys B na chem A .........
 
Tangu lini Division 2 ya Point 19 ikawa na sifa za kumuita mtu KIPANGA.

Kiujumla Division 2 ya O level ni kwa average students.

Kumbuka ukipata alama B kwa masomo 7 unakuwa na Division 1 ya point 14.

Huyo alikuwa average, hongera kwake ila hana sifa ya kuitwa Kipanga.
 
JF na Twitter (X) ni mitandao ya watu much know... kama division 2 ni kawaida kila mtu angepata.
 
Asa mbona huna akili!?
Ngoja nikujibu Humbly kabisa...
Kila Jibu nalotoa linatokana na akili na Swali la Muulizaji..

Na naomba nikuulize na wewe hicho kipimo cha akili za watu Ulikisomea wapi? Na Unatumia njia gani?

Gen-z Na millenial mnamatatizo sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…