Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

Naona tuzo za sikuhizi zina matatizo sana watu wanapiga kura lakini mshindi anatangazwa mwingine..
Watu wanakesha na simu mikononi wakipiga kura chezea utimu ww.....kuna watu asa iv ni watumwa bila kujitakia, kukomoana
 
Ntatoa comment yangu waandaaji wakituletea vigezo vilivyotumika kumpata mshindi, kinyume n hapo n comment basing on personal emotions.....
people vote based on personal emotions ndiomaana mnaona kama kuna mtu ameonewa but what happened is reality... ikifika time ya kuchagua watu wanakuchinjia baharini unaishia kulalama
 
Hivi vannesaa katoa wimbo hani mkubwa kwa mwaka huu,niroge au?

Ndi ndi ndi ilkuwa wimbo wa taifa unaoimbwa na watu wa umri,hali na mahali tofauti.

Ndi ndi ndi haikwenda kimataifa sana ila kwa ndani ya nnchi ni kati ya nyimbo tatu bora za mwaka na kwakuwa hizi tuzo ni za ndani na wananchi ndio wanaopiga kura ni haki ya jide kushinda
 
Na yeye alienda kuchukua form wakat tuzo zina wanyewe, atajua mwenywe
 
Yan umeongea ukwel mtupu nlizan nko peke yang mwenye huo mtazamo
 
Labda watuambie ni nyimbo gani ya Vanessa iliyokuwa kubwa kuliko ya Jide iliyomoa tuzo? Na wasisahau vigezo vilikuwa wimbo uliotoka kati july 2015- july 2016
 
Jide She deserve that Award, hakuna ubishi
 
Jamani kuweni serious
Jide umlinganishe na vannesa kuweni serious basi au ndo ubishi tu
Waitishe shoo hapa jide pembeni vannesa nan ana royal fans
Mwaka huu vannesa katoa nyimbo gani ukishindanisha na ndindindi
........... Mama wa watu anastail asilimia mia hata ukiwaleta wasanii wa akina clauds you can't compare na jeshi moja la jide
 
Kabla ya kulalamika ni Bora Ungejiuliza kwanini Vanessa alikosa tuzo Juzi Mbele ya Yemi Alade, Tatizo la Vanessa Muziki wake hauna uhalisia wa Kiafrica, amekalia kuwaiga wa marekani kila akitoa nyimbo. Ndo maana Yemi Alade atazidi kumshinda kila siku. Ukija kwa Lady Jayde nadhani Twakimu zako ni za kusadikika, yaani Leo Vanessa Amzidi Jide kwa fan base, Ebu kuwa serious kidogo, Jide ni mashine nyingine kabisa, nadhani hata Vanessa anajua hilo na ana Appreciate sana. Jide anapendwa sana aisee, Ukitaka kujua hilo ni Pale alipopiga show yake ya Kwanza mlimani City akiwa anarudi rasmi kwenye game, Tickets bei ilikua Laki 200,000 kwa 50,000/= Three days before ticket zilikua zimeisha, Ukumbi Ulijaa, na hakukua na siti watu walisimama. Kitu ambacho Vanessa Mdee hawezi kuweka kiingilio hicho hata akiweka Elfu 10 watu hawawezi kufika hata nusu ya Jide. Siku nyingine ukileta uzi Kama huu uache Mehemuko. Njoo na Data na Evidence.
 

Mwasimali safi kabisa. Ki nashangaa watu wanasema kura hawapigi
 
Vanessa unamlinganisha na Jaydee?kweli mja akipenda chongo huita kengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…