Vanessa Mdee alistahili tuzo ya mwanamziki bora wa kike

Kitendo cha moyo mashine kukosa tuzo kimenifanya niamini wapenzi wa muziki wapo kama wanachama wa vyama vya siasa..hata kikisimamisha mgombea wa hovyo wao watampa kura tu na kumuacha mtu bora zaidi!
Mkuu Moyo Mashine ni wimbo mzuri sana sana, Ila "Aje" ni Balaa Zaidi .
 
JayDee ana mashabiki wengi kuliko vanesaa

Jay Dee wimbo wake wa ndindindi ni mzuri kuliko alio toa Vanessa

Jay Dee Jana alitunzwa
Vanesaa hakutunzwa

Jay Dee alipata shangwe
Vanessa aliishia kukodolewa tu
Vanessa atapta tuzo za nje ila za ndani amuachie jide, ubeyonce unamponza, ndi ndi ndi ilifanya vzur kuliko wimbo was msanii mwingine wa kike bongo
 
Eatv wameshaanza kuboronga hatua ya kwanza tu ya award wameonyesha upungufu, mdee alistahili na sio Jide.
Ila mwisho wa siku niwe mkweli, binafsi sikupiga kura na kuna uwezekano wengi hawakupiga kura ila tunalalamika.
ni kweli mkuu hata mimi nimekasirika sana. Kwanin Vanesa hajachukua tuzo? Sikupiga kura wala sikujishughulisha na upigaji ila lazima nilalamike maana inaniuma sana, kwanini Vanesa hajashinda?
 
Reactions: G 6
JayDee ana mashabiki wengi kuliko vanesaa

Jay Dee wimbo wake wa ndindindi ni mzuri kuliko alio toa Vanessa

Jay Dee Jana alitunzwa
Vanesaa hakutunzwa

Jay Dee alipata shangwe
Vanessa aliishia kukodolewa tu
Apo umenena
 
Walio shinda
Tuzo ziko saba mtu ana shinda 4 sasa hapo hakuna maana.
Msanii wenu alipokuwa anashinda tuzo za KTMA mlikuwa mnashangilia kuwa anapendwa na watu wamempigia kura, ila hizi mnaanza zengwe.Nimewapa ushauri wa bure, mzungumze na mawingu waanzishe tuzo zitakazo wafurahisha, kwani hizi mmeonyesha kila dalili ya kuzikataa.Muache wengine walio na imani na mchakato waendelee kujipendekeza.
 
Miaka michache ijayo Vannessa Mdee atakuwa ndio msanii bora wa kike Afrika mashariki na kati kwa zaidi ya miaka mi5 mpaka 10 mfululizo.
-Atapata tunzo nyingi sana list sawa na waimbaji bora wa kike Africa nzima.
hata hizo jide kabeba sana fumua kumbukumbu utajijibu.
 
Weeee umeifiatilia vzr Naamka tena tour aliyofanya karib nchi mzima na kiingilio ni 50 kwa 20 na nyomi za hatar tuache masihara Jide yupo good she deserve it.
Ww kweli ndo kilaza kabisa tuzo zenyewe ata hapa mbagara hazijulikani labda cjui unamanisha kijiji gani
 
Ze ndi ndi ndi

ilikua nyimbo ya taifa humu jamvini ilijadiliwa miezi mitatu

vanessa kwa nyimbo ipi ?
Vanessa ninayemjua ni Vanessa Williams... huyu Mdee anaimba ngojera nini!? Ndo namsikia leo ati!!!
 
Ukitaka kujua jay dee sio msanii wa kawaida muulize mzazi wako kama anamjua au hamjui
 
pia Aje ya Alikiba - video bora HAPANA!!!!!!!
haina uzuri wowote!!!
hivi kwanini hawajifunzi kuwa 50% kura 50& majaji?
Tuzo za mchangani za ajabu sana
 
Ze ndi ndi ndi

ilikua nyimbo ya taifa humu jamvini ilijadiliwa miezi mitatu

vanessa kwa nyimbo ipi ?
nobody ft Ko
niroge ni bonge la hit
na nyinginezo..

sema sijui kwanini vanessa harudi WCB
maana sasa hivi sijui angekua wapi jamani...
ana kipaji lakini hana management[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
JayDee ana mashabiki wengi kuliko vanesaa

Jay Dee wimbo wake wa ndindindi ni mzuri kuliko alio toa Vanessa

Jay Dee Jana alitunzwa
Vanesaa hakutunzwa

Jay Dee alipata shangwe
Vanessa aliishia kukodolewa tu
vanessa hajui kupafomu
vanessa akiwezeshwa anaweza tena kuliko yoyote
.
.. anatakiwa aamke!!
ila jide vs vanessa
vanessa mkali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…