Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Vanesa sio mchaga ni mpare mimi na vanessa ni ndugu wa damu naishia hapa kwasababu za kiusalama.Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!
Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..🤣