Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

Laiti ungeijua personality yangu hiyo Aya ya kwanza ungeifuta!

Wakati nafungua Uzi sikuwa hata najua kama Vanessa na huyo mshikaji Wana watoto wawili na sijui kama waligomea kutoa picha za watoto wao na hata Lile wazo la kusema nitakuwa namashaka na mtoto yoyote!.. baada yakuangalia picha ndio nikaona mfanano kabisa ni ikanijia picha ya mshikaji! Haihitaji jitihada kubwa kuona mfanano jicho lakawaida kabisa linatosha!. But anyway mambo yao ni yakwao sipendi kuchukua muda sana kwenye mambo ya watu kile kiliwe watajua wenyewe ila mwamba ajue anadate na mchaga ..🤣
Vanesa sio mchaga ni mpare mimi na vanessa ni ndugu wa damu naishia hapa kwasababu za kiusalama.
 
Ila sidhani kama maza ana shida sasa hivi mwanae yuko pazuri, au pengine atanunua nyingine sehemu nzuri?
Wana hiyo moja tu hapo mjini?
Hizo story pesa hamna hiyo nyumba ndio alikua anaitegemea kwa kodi mana ilikua iko location nzuri...jirani n melia hotel
 
Ila sidhani kama maza ana shida sasa hivi mwanae yuko pazuri, au pengine atanunua nyingine sehemu nzuri?
Wana hiyo moja tu hapo mjini?
Najua hiyo na ingine wanaishi...maisha ya mtu ni siri mana toka ameenda huko hajawahi kurudi hku ...sasa wewe sema yuko kuzuri
 
Cuzoo naomba nikazie, girls yakimbieni mahusiano yaliyokufa.

Acheni kuwang'ang'ania hao wanaume wanaowatenda kwa kutoijua thamani yenu. Kuna mwanaume bora anakusubiri mahali ni wewe tu na uking'ang'anizi wako unajichelewesha.
Imagine unaona kabisa kwny penzi lenu hamna future. Unajaribu kumwelekeza mwenzio haelewi. Anaona kama kuachana ni kufaa. Kumbe kuendelea na uongo ndo kufa kwenyewe. Dada Nifah mshauri huyu ndugu haya mambo ni marahisi sana kama mawasiliano na maongezi yakafanikiwa na uelewa uwepo. Afya ya akili pia inahusika sana mana sisi wanadamu ni wapungufu wa kila kitu...
 
2024 ndo nilianza hivyo nikaaga 😅
Walidhani utani mpk Leo kimyaaa, nimekaza
Sina Muda wa kipuuzi
 
Hao watoto special sanaa ehh
[emoji1] mpaka wanafichwa sura

Ova
 
Nipo Mjukuu, shughuli za shamba zimenibana kidogo 😜

Ulisema ungekuja kumsalimia Bibi yako na Mimi, tunaona kimya kimepita🤗
Bibi upo nae mwaka wa ngapi babu? Tupe nasaha jinsi ya kuishi nao hawa wasiojua hata kusonga ugali siku hizi....
 
Back
Top Bottom