Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Yani umekwenda msibani halafu kanisani lakini unavaa kama unakwenda club au disko vile...

Shame
 
Makonda ameitwa madhabahuni ametubu na amejikubali kuwa ni mchafu, amepatanishwa na baba askofu na Mbowe, amaeumbuka atajifunza.
hajaomba msamaha amesema tatizo ni tafsiri hivi wote pale hawajamwelewa
 
Huwa ninajiuliza sana kwa nini Paskali huwa anampa hadhi ya mteule yaani 'Mpakwa mafuta'.
 
hajaomba msamaha amesema tatizo ni tafsiri hivi wote pale hawajamwelewa
Ameomba msamaha, na kusema ameeleweka vibaya, na akamshukuru na Bashiru kwa kuomba msamaha kwa niaba yake na akasema huo ni upendo wa kipekee....vipi wewe ulitaka apige goti?
 
yan nataman mke wake angemshaur huyu bwana aachane na siasa afane shughuli nyingne maana unaweza kumtetea leo kesho ana haribu tena duh!
 
Mh, nabaki najiuliza....
1. Ilikuwaje akachaguliwa kuwa kiongozi?
2. Na huyo aliyemchagua alitumia kigezo gani?
3. Je haya yote anayofanya huyu jamaa, Mkubwa hayaoni au?
4. Kuna uhusiano gani uliojificha kati ya huyu jamaa na mkubwa?
 
Hakuna mkuu wa wilaya/mkoa yeyote amngeweza kuvaa vile achilia mbali hata mwananchi wa kawaida lazima ujitafakari lakini yeye katinga hivyo hivyo! Duuuh kweli akili ni Mali
Aliishajua mkuu wake wa kazi hatakuwepo na waliopo hakuna wa kumdhibiti!!
 

Hili libashite litakuwa linahusika kwa namna moja ama nyingine na msiba huu..
Kumbukeni kabla ya Mzee Dr. Mengi kufariki dunia alipitia misusuko suko kwenye biashara zake ambayo ilisababishwa na ukoo wa mabashite hawa hawa!
Anyway; duniani hatukai milele... Na yote yanapita!!
 
Bashite zero brain hakuna kitu Anaweza fanya kwa Usahihi kabisaa...!! Lazima aaribu kazii
 
Do not judge.
 
Utovu wa nidhamu na akili ya kitoto.
 
Usukuma kumuachia msukuma siyo rahisi kama ilivyo kwa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…