'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Sasa gia box , sijui tipa Kama tupo gereji.

Huwezi kuwa unafananisha vitu. Kila kimoja na asili yake kilivyo. Mbona vitu vya kufanana vipo vingi Sana. Na Tom boy unataka kutuambia Ni badiliko lipi? Au wale wenye vidole sita. Hicho kidole Cha sita kinatafuta Nini. Acha bhangi
 
Umesema kuwa Kama kiungo hakitumiki hupotea chenyewe.
Swali: Ni vipi Hawa masista na mapadre ambao hawajamiiani/hawazai. Je mfumo wao wa uzazi unapotea mwilini mwao? Yaani nyeti zao hubaki kwaajili ya kukojoa na kunya tu?
Hata mimi nimejiuliza sana hili, au mfano amezaliwa kipofu yaani haoni!! Je, itafika wakati sehemu ya macho ambayo hayatumii kuona yatafutika kabisa??
 
Mbona hizo stages zipo na zinaonekana kupitia fossils ambazo zimechimbuliwa katika maeneo mbalimbali duniani, au ulitaka nikuonyeshe wakiwa hai? Kumbuka, inachukua mamilioni ya miaka kupata genotypic changes
Ni cooked stories don't believe them.You really believe that after so many years of decay the bones can still be joined and get a picture of how the original creature looked like?Ni hivii,hata Darwin mwenyewe doubted the truthfulness of his stupid theories,na hata ndugu zake walimuonya about the luring away of humanity from truth.Sasa ninyi leo mnashikia bango utapeli,wake up.
 
Hizi ndo miongoni mwa sababu zinazofanya nisiikubali Biology na proffessions zake, I never consider it as a real science wafuasi wake hawana tofauti na watu wanaoamini mambo ya astrology sijui leo, cancer, sagittarius na ujinga ujinga mwingine. In Physics and Engineering our theories and assumptions are backed by Mathematics and laws of nature sio maneno tu ya mtu wendawazimu ma wenzake 😂😂😂😂😂.

#BIOLOGY SUCKS 😖😖😖
 
Kabla hapakuwa na nyangumi wala hapakuwa na binadamu, bali kiumbe kingine kilicho tawiwika na kuwa viumbe vingine vingi, wakiwamo nyangumi na binadamu, sasa wanafananaje wakati hawakuevolve baso kuwa walivyo sasa, yaani hawakuwepo
Asante
 
Huna hoja.., kaa mbali.., vidole kuwa 6 ni mutation, kama itakuwa favoured na mazingira basi itabaki, ila kama itakuwa unfavoured basi itapotea with time..
 
Hata mimi nimejiuliza sana hili, au mfano amezaliwa kipofu yaani haoni!! Je, itafika wakati sehemu ya macho ambayo hayatumii kuona yatafutika kabisa??
Mtu akizaliwa kipofu, maana yake hiyo ni unfavoured mutation, anaweza akagongwa na gari au akaliwa na mnyama na kizazi cheke chenye defective genes kinakuwa erased moja kwa moja, hivyo ndio vyo natural selection ya evolution hufanya kazi, ina extinguish unfavoired mutions na kupropagate favoured mutations..

Like wise mtu akizaliwa na macho ya blue na nywele za blonde as a mutation, wanaume wakimuona tu wanamtongoza sababu ni favoured mutation, na muda si mrefu watoto wake wa kizazi cha genes hizo watazaliwa kwa wingi na kuendeleza mutation hiyo sababu iko favoured..
 
Lakini mbona hata vitabu vya dini vinakubali watu wa kale waliishi umri mlefu compare to us, na pia niliwahi kusikia binadamu alikua kiumbe mkubwa sana miaka ya nyuma je hii haiwezi kuwa ni evolution?
 
1.) The palmar grasp reflex is a characteristic behavior of human infants, developing as early as 16 weeks gestational age, when the fetus begins to grasp the umbilical cord in the mother’s womb. Early research found that human newborns, relying on their grasp reflex, could hold their own weight for at least 10 seconds when hanging by their hands from a horizontal rod. By comparison, monkey infants, which possess a similar involuntary grasping behavior, were able to hang from one hand for more than half an hour. The reflex is essential for monkey infants, enabling them to cling to the mother’s body fur. But humans, who evolved out of an arboreal existence and lost the covering of fur over the body, presumably no longer require that powerful grasp. Human infants typically begin to lose the reflex around three months of age. Despite its diminished strength and loss in early infancy, some researchers think that the grasp reflex may retain important functions in humans.
 
kifaa kinachotumika kupima mabaki ya mafuvu na mifupa yabkale carbon 14 kinashindwa kupima umri wa mafuvu na mifupa ya watu walio hai ........hii n maajabu
 

Misuli kujenga uzoefu kwenye gym hiyo ni survival tactics za mwili, haihusiani na hizi pumba unazotaka kuleta humu.
Mpaka sasa tulipaswa walau tushuhudie next gen human ambao wameendelea ku-evolve, hata viashiria or something.
World is too complex to be thought of having come from some big bang.
 
Mmmh Sasa mwanaume nae ana maziwa yanakazi gani au yatakuja kufutika kabisa maana hayana kazi
Ni kama Clitoris (dick like appendige) inavyoweza kuja kupotea endapo itakuwa haitumiki, na hii ni kwa sababu mwanzoni viumbe havikuwa na jinsia, bali kupitia evolution (mutation and natural selection) heterosexualism ikaibuka kuwa victorious.., ambapo waligawana majukumu ya ulezi na utafutaji chakula..
 
kifaa kinachotumika kupima mabaki ya mafuvu na mifupa yabkale carbon 14 kinashindwa kupima umri wa mafuvu na mifupa ya watu walio hai ........hii n maajabu
Hakijashindwa, nani kasema kimeshindwa?!
 
Hiyo ya Gym niliitolea mfano kuonyesha adaptive capabilities za viumbe. Mabadiliko yanatokea mfano kwa tembo wanaouwawa na majangili, wale waliomutate na kuwa na pembe ndogo wanaachwa na majangili na wanazidi kuongezeka, mwishowe wenye pembe kubwa watapotea kabisa, mabadiliko yapo hata sasa, na yanaweza kuchukua hata kiaka milion 1 kutokea..
 
Kiungo gani hakina kazi halafu muhimu na ni lazima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Wengine bora mkaage kimya tu.
 
Kiungo gani hakina kazi halafu muhimu na ni lazima🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Wengine bora mkaage kimya tu.
Hakina kazi kwa ‘kiumbe kimoja wapo’, ila kwa ‘kiumbe kingine’ ni muhimu na cha lazima, soma vizuri, sio unasoma kama unakojoa mchana barabarani
 
Hakina kazi kwa ‘kiumbe kimoja wapo’, ila kwa ‘kiumbe kingine’ ni muhimu na cha lazima, soma vizuri, sio unasoma kama unakojoa mchana barabarani
We dogo tatizo Ni mkorofi, mweleweshe my vizuri na sio kumtukana. Tunatofautiana uelewa alafu unachoamini wewe usilazimishe wengine wakiamini. Mwingine anaweza tu kupinga pasina sababu ya mcngi ilimradi tu apinge. Chukuliana nao coz faida ipo kwa wafatiliaji ndio wanang'amua uongo na ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…