nyoka in
JF-Expert Member
- Aug 27, 2024
- 518
- 318
Sasa gia box , sijui tipa Kama tupo gereji.‘Evolution’ kwenye Morphology ya viumbe haina tofauti na ‘Modification’ inayofanyika kwenye magari ili kuendana na mazingira. Mfano, kuna Gari kubwa za mizigo zinatumia gearbox zenye ‘hatch’ kwa ajili ya kufunga Gear ya tipper, lakini hiyo gari haina tipper, lakini pia gari ya aina hiyo hiyo zipo zinatumia gear box hiyo hiyo na zimefunga kigear cha kupiga tipper. Hapo moja kwa moja unaona kabisa kwamba ile ambayo ina kishimo cha kufunga gear ya tipper ila haina tipper, ni kwamba ilibadilishwa matumizi kutoka kuwa gari ya kubinua na kuwa Lorry ka kwaida, hivyo kile kigear cha tipper (tipper control system) ikaondokewa maana haikuwa na kazi tena, ila kishimo kimebaki cha kufunger tipper gear. Sasa kile kishimo ndio kwenye viumbe tunaita ‘Vestiges’, maana yake kiumbe kimebadilika kulingana na mazingira kwa process ya ‘mutation’ na ‘Adaptation’ via ‘natural selection’.
Sasa hapo unahitaji uwepo ili kujua kwamba hilo gari lilibadilika kutoka kuwa la kubinua hadi kuwa la kawaida la mizigo?
Mnapewa ubongo wa kufikiri ila badala yake mnakuja humu jukwaani kuandika kwa kutumia makalio.., kaaa mbali na mimi kama huna hoja.
Huwezi kuwa unafananisha vitu. Kila kimoja na asili yake kilivyo. Mbona vitu vya kufanana vipo vingi Sana. Na Tom boy unataka kutuambia Ni badiliko lipi? Au wale wenye vidole sita. Hicho kidole Cha sita kinatafuta Nini. Acha bhangi