Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Wenye nguvu ya fedha washafanya Yao tena,

Ndiyo tunajua, kila kitu lazima kiende Kwa utaratibu, Labda niulize Kwa Mleta uzi, Je Hilo gari linalotangaza halisemi mbadala wa hao wenye vibanda wanapaswa wapelekwe wapi?

Kama ndivyo, tayari hili ni kosa lingine kubwa baada ya lile la Kwanza la makampuni ya kigeni yanayokuja kuwekeza nchini hayatakiwi kuwekewa limiti ya wafanyakazi wanaotakiwa kuja nao kutoka makwao ili kufanya kazi kwenye kampuni hizo za kigeni!!

Hilo ndilo kosa kubwa kuliko mengine yote ambayo yameendelea kuwepo Wakati huu,

Watanzania mtegemee kukosa ajira kwenye makampuni yote ya kigeni na hata ysliyowekeza tayari mtaanza kutimuliwa mdogomdogo na wageni kuletwa kufanya kazi hizo

Yetu macho
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es salaam.
... tangazo hili haliihusu Temeka, Kigamboni, Kinondoni, na Ubungo anyway. Maana huko sio jiji la dar es salaam; ni nje ya jiji according to mwendazake na yule aliyekuwa waziri wa tawala!
 
Wazo zuri Jiji lazima lipangike liwe safi Biashara zitengewe maeneo Maalumu sio kila sehemu ni vibanda Angalia Posta Mpaka wachina Mahindi na viazi utadhani Mbagala Ofisi za Serikali Wamejaa Mama lishe shoe shines uchafu mtu
Yaani ilikuwa balaaa sana!!!!
 
Back
Top Bottom