Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Yaani waweke mpangilio mpaka kwenye masoko na vituo vya magari waondoe vibanda visivyona mpangilio.
 
Hili jambo ni jema sana yani huku biashara nyuma boda inakuja kinjia unakuta kadogo mno funga kazi mvua inyeshe sasa, ila ubaya unakuja hizo biashara wanaenda kufanyia wapi?? wakati hizo biashara ndio maisha ya familia za watu....hawajakurupuka kweli?
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es salaam.
Ohoooo, yamekuwa hayo tena - sasa sisi tukauzie wapi bidhaa zetu ndogo ndogo - CCM mmetugeuka eee baada ya Mzee na mtetezi wetu kutuacha? hatutakubali - lazima kiwake tu kama mnavyotaka na iwe.
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es salaam.
Hapo sasa CCM na maisha ya watanzania yataboreka sana.
 
Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es salaam.

This was a mistake to allow them to do business everywhere. Hawa watu wapangiwe maeneo ya kufanya biashara na waende huko. Hizi mambo za kuweka biashara kwenye barabara ni uchafu mtupu. Halafu watalipaje kodi sasa?
 
Back
Top Bottom