Yapo na hawataki eti hakuna wateja, Si kweli. watu watazifuata ziliko kama sasa mtu anatoka Tegeta kwenda Karume kufuata mitumba au sokoni Ilala. Watu wanakwenda kufuata nguo na bidhaa za sokoni huko tandika kutoka kimara.This was a mistake to allow them to do business everywhere. Hawa watu wapangiwe maeneo ya kufanya biashara na waende huko. Hizi mambo za kuweka biashara kwenye barabara ni uchafu mtupu. Halafu watalipaje kodi sasa?
Sawa lakini jamu ni kubwa mno wapelekwe sehemu moja tutawafata hukohukoKuna watoto ada zao zinatoka hapo, furaha Yao inatoka hapo.
Kuweni na huruma kwa watu.
Wakipelekwa Mabwepande utakuwa unatoka kazini posta kwenda kununua cover la simu mabwepande ?Sawa lakini jamu ni kubwa mno wapelekwe sehemu moja tutawafata hukohuko
Yaani mwendazake alitengeneza time bomb kubwa. Masikini Kijana wa watu!!!!Umenikumbusha kijana aliyeuawa na wamachinga kkoo baada ya gari lake kukanyaga fungu la nyanya barabarani, Iliniuma sana walivyochangia kumpiga. Sad.
Hakuna mkuu. Mambo yatakuwa safi tu.Huwa nawakubali MAMA na DADA zetu kwa Usafi aisee hii ndio nature yao na nililitegemea hili. ila ANGALIZO isije kuwa mambo ya "Tengeneza tatizo halafu Tatua tatizo "
Zamani walikuwa wanapika vyakula majumbani mwao, then wanabeba wanaleta kwa wateja wao maofsini.Hao wanaotolewa maeneo hayo wanatarajiwa kuhamishiwa wapi?. Mtihani mpya kwa wale waliochukua mikopo haswa kina mama wanaotegemea vikoba na pesa za aina hiyo.
Mwendazake alikuwa anatafuta kura za huruma na HAKUWA na akili ya kuwatafutia pa kuwaweka.Watakuja kusema"baba yetu kaondoka sasa wanatunyanyasa"
Mkuu wewe ni jeshi la akiba (mgambo)?Kazi nzuri, wakimalizana na hao waende pale stendi ya mahufuli kuwatoa wale machinga.
Sawa mkuu nimekuelewa kiwa huhitaji kuona machinga wakizurula zurula, waende kuwa wakulima kijijini.Hivi hoja za ajabu kama hizi mnazitoa wapi? Nchi ifike mahali raia wafuate sheria , Sheria ni msumeno hukata mbele na nyuma, iweje sasa raia wengine Sheria iwe butu kwao kisa machinga? Raia kama hana shughuli ya Msingi ya Uzalishaji mjini kati anafanya nini? Warudi kwenye kilimo nchi ipate uchumi kukua, hii ya kufanya uchuuzi Nchi haifaidiki chochote kwa hawa raia wachuuuzi.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Walah, mimi ni mlalahoi tu ila hao machinga wanakera sana kubadili matumizi ya barabara.Mkuu wewe ni jeshi la akiba (mgambo)?
Mkuu Kerubi naungana nawe kwa hoja zako, ila tambua kuwa humu Jf wengi ni athirika wa hawa wamachinga huko barabarani, mbele ya maduka yao n.k, hivyo ni vyema proposal zako ukazipeleka kwenye ofisi inayohusika kwa hatua zaidi. Hakuna mtanzania anayependa mtanzania mwezake anyanyasike ama anyanyaswe lakini kwenye mambo yenye mashaka mashaka lazima sheria zifutwe.
Kwani uongo?Watakuja kusema"baba yetu kaondoka sasa wanatunyanyasa"
Siyo wanahamishwa, wanaondolewa kwa kwenda watajuwa wenyewe.Hao wanaotolewa maeneo hayo wanatarajiwa kuhamishiwa wapi?. Mtihani mpya kwa wale waliochukua mikopo haswa kina mama wanaotegemea vikoba na pesa za aina hiyo.
Balabala...barabaraCCM oyee,subirini ukikaribia uchaguzi tutawarudisha tena pembezoni mwa balabala mufanyage biashala kama kawa.