Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wamachinga wanataka wapita njia ili wafanye biashara! Thats not a formal kind of business ila wakilazimisha mambo ya formal inawaumiza jamaa! Na ndo maana hata machinga complex hawakai pale!Maeneo maalum yapi hayo?? Hii changamoto ya wamachinga ni suala la kujua wao wanataka nini!?? Nature ya biashara ya umachinga ni maeneo tu au kuna factors nyingine zinasababisha machinga kuweka kibanda chake sehemu fulani..
Wale wamachinga huwa hawaweki tu vibanda vyao kwa kukurupuka??