Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Maeneo maalum yapi hayo?? Hii changamoto ya wamachinga ni suala la kujua wao wanataka nini!?? Nature ya biashara ya umachinga ni maeneo tu au kuna factors nyingine zinasababisha machinga kuweka kibanda chake sehemu fulani..

Wale wamachinga huwa hawaweki tu vibanda vyao kwa kukurupuka??
Wamachinga wanataka wapita njia ili wafanye biashara! Thats not a formal kind of business ila wakilazimisha mambo ya formal inawaumiza jamaa! Na ndo maana hata machinga complex hawakai pale!
 
Shida inaanzia hapo kwenye floors wateja hatuna utamaduni wa kupanda magorofa zaidi ya floor 2! Ikizidi hapo ujue huyo wa 3 na kuendelea itakula kwake ndo maana hata pale complex machinga hawapataki! Wateja wa wamachinga tunawajua!

Kama ni kuua eneo labda waue block 1 itandazwe jengo la floor 2 ndani ya acres 6 labda! Iwe Kariakoo Machinga Mall! Waue mtaa mmoja hata ule wa wauza simu ambao hauna maghorofa mengi!
Shida ni kwamba machinga complex imekaa kando kidogo in facts hata kufikiri kwenda pale brain inakataa kabisa..
pia wajenzi wake sijui walijenga mijengo na aina ya vizimba vyake kwa staili ya wapi?
*N.B STADI YA KINA INAHITAJIKA THE WAY WE TRESS WILDERBEAST...#$%&
 
Shida ni kwamba machinga complex imekaa kando kidogo in facts hata kufikiri kwenda pale brain inakataa kabisa..
pia wajenzi wake sijui walijenga mijengo na aina ya vizimba vyake kwa staili ya wapi?
Hahaha pamekaa kushoto sana! So far from the main road! Walitakiwa waijenge upande wa barabarani hapa opposite na soko la mchikichini/karume na pawe tambarare!
 
Wewe jamaa unaielewa vyema concept ya marching guys! Na hawa watu asili yao ni kutembeza bidhaa ila walipoiboresha huduma kwa kuona kutembea hamna tija ndio wakaamua kuwategea wapita njia sasa!

Sasa mtu wa aina hii kumtengea eneo ni kumfunga hela kwa kweli sababu purchases zetu huwa ni unplanned! Mie siwezi kupanga kuwa leo naenda kununua lamba lamba ila nikikutana na yule muuzaji nanunua on spot! Siwezi kupanga kununua korosho ila nikikutana nazo nanunua chap.

Hoja ya kuwa embed kwenye vituo vya madala dala nakubaliana nayo kabisa! Na pawe ni eneo la chini tambarare kama ki sub-market chao hapo watu wataingia na kupata mahitaji yao kirahisi! Ni rahisi sana kama watajengewa hubs stand za dala dala mle!
Mkuu kwani sheria za mipango miji zinasemaje kuhusu Reserve Road?

Tusiweke huruma hapa.
 
Mkuu kwani sheria za mipango miji zinasemaje kuhusu Reserve Road?

Tusiweke huruma hapa.
Sawa kuhusu reserve ila wakiondolewa waende wapi au warudi keko kuwakaba na kuwaibia power window majumbani mwenu?
 
Sawa kuhusu reserve ila wakiondolewa waende wapi au warudi keko kuwakaba na kuwaibia power window majumbani mwenu?
Hatuumizi kichwa kwa wavunja sheria! No excuse mzee.

Kwani waliovunjiwa Nyumba zao kimara walienda wapi ?

Kuondolewa Barabarani hakuhitaji maelezo kwasababu wamevunja sheria, suala la wataenda wapi ni issue nyingine.

Raisi aliefariki ametuachia mzigo mzito sana. Huwezi kuendesha nchi kwa kuruhusu kundi moja kuvunja sheria waziwazi.
 
We inaonekana una uchungu wa kuvunjiwa nyumba mzee 😂😂😂 pole sana ila sikuingine usinunue kiwanja barabarani mkuu
 
Wanazo sehemu zao walizotengewa. Mbona hawataki huko? Why mabarabarani? Uliona wapi wewe nchi ya hivi?
Huko mlikowatengea nyie mnaendaga au unaropokwa tu😁😁😁!!! Biashara ya mmachinga ipo kwa mpita njia ndio maana huwezi kukuta mmachinga anakimbilia sehemu ambayo watu hawapiti kwa wingi!
 
Kwa kweli waondoke maana hali imekuwa mbaya maana nje ya maofisi kumegeuzwa hotel hadi wanapikia majiko ya gas wameset meza na viti na miavuli ya pepsi kama hotel kabisa pale Akiba. Siku likitokea janga la moto sijui kama majengo ya ofisi na mali zao kama yatasalimika.
Hahahaha
 
Sawa kuhusu reserve ila wakiondolewa waende wapi au warudi keko kuwakaba na kuwaibia power window majumbani mwenu?
Mbona kama unawatishia kuwa warudi kuwakaba. Inamana nchi ingekuwa na huu huu utaratibu tokea enzi kwani watu wasingekuwa wamezoea mkuu kutopanga bidhaa within road reserve?
Njoo so tuogope kuwa watatukaba ili waruhusiwe.
Kwani hawajui kuwa watauwa wakianza wizi mwenyewe ni machinga Ila nachukia bidhaa kupangwa mpaka road. Mfano mzuri ni hapa keep left ya nyerere road mwanza.inakera
 
Dah kwahio waondolewe road reserve tu mkuu ila wabaki mbele ya maduka!?
 
Maeneo maalum yapi hayo?? Hii changamoto ya wamachinga ni suala la kujua wao wanataka nini!?? Nature ya biashara ya umachinga ni maeneo tu au kuna factors nyingine zinasababisha machinga kuweka kibanda chake sehemu fulani..

Wale wamachinga huwa hawaweki tu vibanda vyao kwa kukurupuka??
Hao wamachinga wamechangia kuua wafanyabiashara wa maduka makubwa na kodi kubwa hutozwa kwa kutegemea ukubwa wa biashara.

Tuendelee kuzikwaza biashara kubwa kwa kuwaridhisha wadogo?.

Wakubwa na wadogo wote wanahitajika hivyo cha kufanyika ni wadogo kurudi kule ambapo ni maeneo yao halali.
 
Wasisahau na mwanza jamani
Malizeni yale masoko haraka
 
Pale kariakoo kuna majengo yanayotaka kuendana na unayoyasemea hapa,ila wanadai kule juu hamna biashara,wateja awapandi!,kikubwa serikali iandae maeneo ya machinga nje ya mji,soon pale mbezi kutakua kama kulivyokua mbagala mwisho na tandika,jamaa wangetafutiwa eneo mapema sana
Sasa nje ya mji wakati wao target yao ni wale watu wanaopita pita stand
 
Back
Top Bottom