Pre GE2025 Vibe la Godbless Lema baada ya kumalizika kuhesabiwa kura Uchaguzi wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naombeni ndugu Wenje akae karibu na sanduku la huduma ya kwanza....atamuambia nini Abduli🐼
 
"Wabangaizaji wampiga mtama Bwanyenye!"
 
Kwenye huu uchaguzi wa chadema-taifa , wana ccm akina tlaatlaa, lucas mwashambwa na wale walioungamkono bango la mbowe litawale kwenye mkutano mkuu maalumu wa ccm huko Dodoma hivi karibuni ndo wameangukia pua.
 
Hongera Mbowe Kwa kuifikisha Chadema hapo ilipofika. Sasa kaongoze mijadala ndani ya kamati kuu maana utakuwemo hadi mwisho wa uhai wako.
 
Kijana taratibu,,
 
Kwenye huu uchaguzi wana ccm akina tlaatlaa, lucas mwashambwa na wale walioungamkono bango la mbowe litawale kwenye mkutano mkuu maalumu wa ccm huko dodoma hivi karibuni ndo wameangukia pua.
Hawajaangukia pua yeyote maana sio Wana Chadema ni Wana CCM,wao walitoka Mbowe ashinde Kwa sababu ana busara na Yuko approachable.
 
Salam iwafikie abdul na mama yake popote walipo
 
Ahahahah..poleeeee.
SUbiri kwanza,kaa vizur tuchomoe , ujambe kidogo kisha tuendelee kukuweka mambo shoga wee
 
Jamba babu jamba harakaaa, tushachomoa sekunde chache tusije rudishia mti nyama uakaendele kuugulia maumivu chawa we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…