Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Vibendera vya Israel kwenye magari ya Wabongo

Mkuu, fanya kile kitu kinacho kupa na wewe furaha, wao wameona wakifanya hivo wanasikia RAHA, fanya yako mkuu. Maisha mafupi, why uanze kujipa na stress zingine zisizo na mpango!?
 
Mambo ya imani hayo mkuu, kwenye Bible Israel katajwa kama mtu aitwaye Yakobo, halafu tena taifa lililotokana na huyo bwana likapewa jina la Israel...

Ni kama vile wewe unavyoamini Simba itakuwa bingwa pamoja na ubora wa kina Fiston Mayele & co
Umekosa mfano mwingine mpaka ukaamua kuutumia huo?
 
Nimeshangaa sana kuona statistics zinasema ni asilimia mbili tu (2%) ya Waisrael ndo wakristu..

Nilidhani zaidi ya asilimia tisini watakuwa wakristo,kumbe nilikuwa opposite vibaya sana..

Wakristo tumeingizwa chaka nini na biblia?
Suala la Waisrael kukana Ujio wa Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita iliandikwa wazi kabisa kwenye Biblia na kwa wakati wa hukumu wao watajikomboa kwa nafsi zao wakati wa mateso ya Mpinga Kristo.

Wengi wanawaona Wakristo wa swhwmu zingine duniani kuwa wajinga kisa tu Waisrael wengi hawamwamini Yesu na badala yake wanawaamini Manabii wa kale yaani Ibrahim, Isaiyah, Mosses, Jeremiah n.k

Lakini hakika watakuja kumkiri wakati wa mwisho wa hukumu

Biblia imeelezea vizuri ila inahitaji muda kuelezea hayo maandiko.
 
Kama hujui Sasa Kitendo Cha Wayahudi kumsulibisha Yesu Kristo Ni Jambo zuri Sana Sana kwetu Wakristo....na Wasingemsulubusha tungepata hasara kubwa Sana......

Wayahudi walifanya kazi Nzuri Sana mbele za Mungu Kumsulibisha Yesu
Toa hapa stori za kutunga ungekua mpango wa Mungu Yesu asinge omba Mungu amnusuru kumondolea hicho kikombe cha kufia msalabani.........
 
Hao wa nabii wapya ndo wana potosha vijana wenye elimu duni na msongo wa mawanzo, eti nchi ya ahadi ni Israel......wakati israel hiyo imeundwa 1948.
Kabla ya hapo hakukuwa na Taifa la Israel?

Iliundwa kwa Mara ya ngapi?
 
Mkuu hilo taifa la Israel lilikua wapi prior vita ya dunia ya pili, tukumbushane vizuri, unajua kwamba Russia kama nchi ina wa Israel kuliko isreal yenyewe,
Nafahamu sana historiaya Israel, its obvious Russia ni Taifa kubwa zaidi Europe iliyoextend mpaka Asia, mimi nimekuuliza Taifa la Israel limeundwa upya 1948 au lilishakuwepo kwa karne nyingi nyuma kama Taifa then likadisappear?
 
Zaana zina buniwa mkuu, sio lazima ziandikwe kwenye bibulia, kuna sehemu yoyote imeandikiwa kutumia mic [emoji441] na speakers[emoji344] kanisani? Lakini sizinatumika kila mahala.
Sasa huyo ambaye ameweka kabendera ka Israel kama zana ya Imani yake kwa Mungu wa Israel ana tofauti gani na aliyeweka Rozali kama zana ya Imani yake ya kirumi?
 
Toa hapa stori za kutunga ungekua mpango wa Mungu Yesu asinge omba Mungu amnusuru kumondolea hicho kikombe cha kufia msalabani.........
Mkuu Yesu alisema hayo maneno kwa Sababu aliogopa Kifo
katika Mathayo 26:39
[39]Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Ila ujue Yesu aliletwa Duniani Ili Ateswe na Afe ili Damu yake ikimwagika sisi tukombolewe...Jwa Maana nyingine Ni Kwamba Bila Damu ya Yesu Kusingekuwa Na Agano Jipya....

Kwa Hiyo ilibidi Wayahudi wamchukie na Wamtese Ili Ammwage Damu ili Sisi Tukombolewe...

Ndyo maana Mtume Paulo anasema "Kama Yesu Hakufufuka Katika Wafu Basi Imani Yetu Ni Bure"
 
Nafahamu sana historiaya Israel, its obvious Russia ni Taifa kubwa zaidi Europe iliyoextend mpaka Asia, mimi nimekuuliza Taifa la Israel limeundwa upya 1948 au lilishakuwepo kwa karne nyingi nyuma kama Taifa then likadisappear?
Modern israel state umeundwa na UN baada ya vita ya dunia ya pili, manzoni UN elipendekeza hilo taifa liunde Africa kwenye British East Africa colonies, kwa kuchukua sehemu ya uganda kasikazini na sehemu ya Kenya magharibi, ila uingereza ikakata kata kata, ndo maana wakaamishiwa maeneo ya Palestine na Jordan mwaka 1948
 
Israel na Marekani ndio wababaishaji wakubwa wanapigania haki sawa kwa wote ili kueneza ajenda mbili; moja ni mwanamke kutokumheshimu mwanaume na ya pili kueneza ushoga.
Huo ushoga..mbona hata kule ni sunna mzee au unaongelea ushoga gani?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom