Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
NaamPonjoro kama ponjoro!
HahahaaMambo bado ni mengi.
Kwa nini uende kote huko mbali, wakati vita yetu wenyewe tayari tunayo ha a hapa; au hujui kinachoendelea sasa hivi?Pole sana Africa. Waarabu na Wazungu wameharibu kabisa uwezo wa Mwafrika. Unakuta mtu yuko Buza anajifanya mzayuni damu, mwingine yuko kwa Mparange anajiona yeye ni mwajemi wa Iran. Pumbavu zenu nyie
Suala la Uzayuni siyo suala la dini wala kabila. Ni suala la nchi (Palestina) kuvamiwa na kukaliwa kinyume cha sheria ya kimataifa na maazimio ya UN. Ni sawa naa Ukaburu wa Afrikaa Kusini ulivyolaaniwa na wanadamu wote wa dini zote na kabila zoteKwa nini uende kote huko mbali, wakati vita yetu wenyewe tayari tunayo ha a hapa; au hujui kinachoendelea sasa hivi?
Umeelewa mada?Asilimia 21 ya Waisraeli ni Waislamu
Wakristo ni asilimia 5.
Ni kosa la jinai Israel kujaribu kumtoa mtu Uyahudi kuwa Mkristo.
Soma vizuri utaelewa nilichomaanisha.Kwa nini uende kote huko mbali, wakati vita yetu wenyewe tayari tunayo ha a hapa; au hujui kinachoendelea sasa hivi?
Wakristo na waislamu ni wapumbavu kwa asilimia 99Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu.
Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF hairuhusu kutweza utu wenu.
Pole sana Africa. Waarabu na Wazungu wameharibu kabisa uwezo wa Mwafrika. Unakuta mtu yuko Buza anajifanya mzayuni damu, mwingine yuko kwa Mparange anajiona yeye ni mwajemi wa Iran. Pumbavu zenu nyie.
HahahahaaWakristo na waislamu ni waoumbavu kwa asilimia 99
Wanekata tamaa hawapendi kuthubutuWa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu.
Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF hairuhusu kutweza utu wenu.
Pole sana Africa. Waarabu na Wazungu wameharibu kabisa uwezo wa Mwafrika. Unakuta mtu yuko Buza anajifanya mzayuni damu, mwingine yuko kwa Mparange anajiona yeye ni mwajemi wa Iran. Pumbavu zenu nyie.
Lakini hujasema kuwa hao Waislam ni Waarabu. Ambao ni 100%Asilimia 21 ya Waisraeli ni Waislamu
Wakristo ni asilimia 5.
Ni kosa la jinai Israel kujaribu kumtoa mtu Uyahudi kuwa Mkristo.