Vicoba vitamaliza wake zetu

Not necessarily

Kuna wanawake nawajua wamenunua viwanja na magari na wengine wanasomesha Watoto shule nzuri kwasababu ya vikoba.

Inategemea na mindset ya mwanamke na malengo yake.

Kuna Wanaume wengi tu sikuhizi wanawasapoti wake zao wacheze hata majina zaidi ya 5, siku wakivunja kama kina watu wengi hata M50 wanachukua...pia kumbuka ile riba inayorejeshwa ni Akiba yake tena kila mwisho wa mwaka.
 
Usilazimishe Msoto ulioupitia au Wazazi wako Kukopo hovyo ili Usome ndiyo uwe ni kwa Kila Mtu hapa JamiiForums sawa? Wengine Wazazi wao walijua maana ya Kusevu ( Saving ) na pia walikuwa na Connection nyingi abroad and overseas hivyo Watoto wao hawakusoma kwa Mkopo bali walisoma kwa Uhuru, Amani na Furaha tele tu.
 
R.I.P Johari Tarimo
 
Hicho kinaitwa Chama cha Kufa na Kuzikana sio Kikoba
 
Walaumiwe wanaume wengi wamekuwa wanaume suruali hawahudumii familia zao matokeo yake wanawake wanapata stress za kiuchumi. Pumbav kabisa

Mume wangu popote ulipo nakupenda sana unanihudumia ipasavyo vicoba navisikia tu
 
Apumzike kwa amani mwanamke mwenzetu. Ila mbona deni halikua kibwa kihivyo. Naona wanaume mnaviponda vicoba wala havina shida yoyote shida ipo kwa mtu binafsi. Unaambiwa kopa kwa malengo, tumia kwa busara rejesha kwa wakati.

Angewashirikisha tu wanakikundi wenzake anayoyapitia wala asingefika kote huko. Vicoba vimewasaidia wanawake wengi tu wakafanya mambo ya maana.
 
Walaumiwe wanaume wengi wamekuwa wanaume suruali hawahudumii familia zao matokeo yake wanawake wanapata stress za kiuchumi. Pumbav kabisa

Mume wangu popote ulipo nakupenda sana unanihudumia ipasavyo vicoba navisikia tu
Haugawi kipochi manyoya nje?

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Kuwepo kwa vikoba ni ishara ya umasikini katika jamii, kama suala ni kuweka akiba zipo taasisi za fedha zinazoeleweka. Vikoba vimekuwa tishio kwa ndoa kuvunjika
 

Almost kila kitu kina pande mbili

Unapoingia kwenye kikoba si lazima kukopa
Mara nyingine unaweza kufanya tu Kama kibubu cha kutunzia pesa na sehemu ya kusocialize

Ukiamua kukopa kuwe na u muhimu wa kufanya hivyo na pesa ziende katika uzalishaji.

One man’s trash can be another man’s treasure
 
mnataka wakimbilie wapi? kama banks zenyewe zinakamua fedha za watu kwa kisingizio cha tozo si bora wawekeze huko vicobani na kwenye vibubu, mambo yamekua magumu sana Bongo lakini kuna kitabaka flani cha wala nchi wanaendelea kuupiga mwingi kama kauli mbiu yao ilivyo, sio wanawake tu hata wanaume wengi sana wako vicobani.
 
kudanga si kitu chema,na huwa wanajiunga baadhi yao hawawashirikishi waume zao.Pia makundi ni tatizo mtu huna biashara wala jambo muhimu unakopa kwanini?Hela unayotafuta kwa bidii jiwekee akiba mwenyewe.
 
Haya chaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…