Kazi ipo huyu Sirro kweli amechoka kazi...na maza naye hajajikausha.View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Kibri kimemtawala "he is from Mara"si ajiondoe mwenyewe tu
sio tu kumlea bali Siro anajua walivyoingia madarakaniHii ni mara ya pili anamjibu. Kamlea mwenyewe.
Afrika Hakuna msamiati huu.Duh!.
Ningelikuwa Sirro ningeling'atuka sasa. Sina cha kusubiri tena.
True muundo wa police ni kutii maagizo amri ya mwanasiasa.Katiba hii haitenganishi police na siasaNafikiri aijipi anapigwa vita vya chini chini nae kaona isiwe shida,Tatizo sio aijipi bali muundo wa jeshi la polisi......
Polisi kwa yale masilahi inabidi waangaliwe tena aisee.....ili wawe wanafanya kazi kwa weledi....
Fikra zangu tu
I agree
Lakini muda mwingine tutenganishe siasa na changamoto za maisha ya kila siku.
Imani na jeshi la polisi ni kitu muhimu sana katika kupambana na uhalifu, ni kukosa imani na polisi ndio kilichopelekea kijana aliechukuliwa mbele ya mashahidi luluki halafu wote waamue kubaki kimya; na ingebaki ivyo kama baba yake mzazi asingepaza sauti.
Ni kitu gani kilichowaogopesha vijana wote aliokuwa nao marehemu bar siku anakuja kubebwa na polisi waogope kupaza sauti baada ya kuto muona siku kadhaa.
Sasa mambo kama haya embu tutenge kidogo siasa nakujiuliza ni namna gani tunaweza toa habari kama hizi bila ya woga huko juu waanze kufuatilia; katika harakati za kuboresha ujirani mwema na hii taasisi maana ni muhimu katika maisha yetu wao wakiwa kama walinzi wa mali na maisha kwenye jamii.
IGP wa Costa Rica 🇨🇷View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Hapo tafsiri yake ni kuwa Mama anawaka kuwa ukiligusa tu hilo Jeshi la Polisi.........View attachment 2160498
Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.
Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533
Mbona walimgomea Gwaji Girl alipowaambia wamkamate Gwaji Boy?True muundo wa police ni kutii maagizo amri ya mwanasiasa.Katiba hii haitenganishi police na siasa
Nikimtazama Kamanda naona kabisa wazi kwamba yupo tayari kwa maamuzi yeyote kutoka kwenye mamlaka kubwa
Anatafuta pa kumchinjia, aanzie nyuma ya shingo au kwa koromeo.Mama anambeba sana huyu....
Unavoongea kana kwamba akitaka kumtema kesho asubuhi atashindwa.Hapo Siro ameamua kukomaa, kama noma iwe noma, Siro ni kama anasema hatoki mtu hapa. Siro sio Ndugai, Samia safari hii ajipange haswaa.
Muda utasema kama ni leo,kesho au mtondo goo.Sirro kwisha habari yako, huko jikoni Bi Zuhra anapika barua yako.
Kwanza huyu Sirro ana kinga kisheria asishtakiwe? Kama hana mimi maoni yangu ilibidi afunguliwe faili mahakamani na kwa kuanzia tuanze na shambulio la Ndugu yetu Tundu Lissu.
Huu mchezo hauitaji hasira!