Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

Maza anafokewa....😎
Na Siro amesema nanukuu: "kama hauwezi kuamini chombo chako...." mwisho wa kunukuu...tehπŸ˜‚
Hata kama Sirro hataki, naamini kuna watu wana busara watamshauri tu apumzike.
 
Nikisikiliza hotuba za Hangaya.

Nikisikiliza kauli za Sirro,
Nikikumbuka ya Ndugai.

Naona kama kuna njia panda nyingi huko juu.
 
TPDF naona hakuna m utano mkuu
 
Sirro amekosa self awareness.

Swala sio polisi kuwakamata polisi wenzao.

Swala kubwa ni kwanini maofisa tena kwa kushirikiana kupanga na kutekeleza uhalifu.

Walifikaje kupewa vyeo vya kuongoza polisi kwenye wilaya ikiwa wana mienendo ya namna hivyo?

Je ni matukio mangapi ambayo hayakufika huku juu?

Mmoja wao ndio aliyemtolea silaha Waziri Nape hadharani, ilikuwaje akapewa kuongoza upelelezi wa Wilaya?

Askari asiye na nidhamu kiasi kile, alipitaje mchujo?
Inakuwaje maofisa hawaoni shida kukamata mtu na kumuua akiwa mikononi mwa jeshi la polisi? Afadhali hata kina Zombe

walitengeneza filamu ingawa iliwalipukia.

Anayechukiwa sio Sirro, jeshi zima linahitaji mabadiliko. Haliaminiki kabisa na wananchi.

Tumesikia vituko vingi kwenye kesi ya Mbowe, leo ukiwauliza wananchi kama stori za kina Adamoo zina ukweli ndani yake, nina uhakika majority watasema ni za kweli.
 
Sijui ni kwa nini hadi sasa hivi huu uzi upo?

Hivi IGP Sirro ni wapi hapa amemjibu Mkuu wa nchi, Rais na Amiri Jeshi Mkuu?

Huu si uhuru wa maoni ni kosa kubwa sana kisheria hili. Wakuu wetu wa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi hii ni watiifu na wazalendo mno.

Tuache hii tabia mbaya kabisa kuchonganisha viongozi wetu.πŸ™πŸ™πŸ™
 

anasema nini huku bhooo bhoo bhoo,
 
Unapata nini ukipotosha?

Mnakimbilia kufunika vitu badala kuvi solve, sasa uzi ufutwe kwa kipi
 
Askari aliyemtolea nape bastola sio mmoja ya hao wa mtwara. Sijui nani kawamesesha hili,
 
aliyesema ...unakwenda kujibiwa bhooo bhoo ni sisi? 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Polisi ni kazi ya heshima kuliko wanasiasa, iliyotukuka inayotambuliwa kikatiba kama ukitimiza wajibu wako kwa mujibu wa sheria na kutumia akili.

Askari mwenye akili nzuri aweza kuwa mwanasiasa anayeheshimika baada ya kustaafu.


Katiba inamtaka polisi asipendelee chama chochote wala asioneshe mapenzi yake kwa chama fulani kwa uwazi.


Hata hivyo, kwa sababu tu ya ujinga, polisi wetu wanadhihirisha hadharani upendeleo kitu ambacho huwaudhi hata wale wanaopendelewa kama wana akili na mapenzi kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…