KachanganyikiwaWakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
View attachment 3385730
Jamaa mwongo sana yuleSo what? Wako wapi aliowategemea kukinukisha? Alisema yeye anauwezo wa kuliamsha sio Kama wengine magoi goi kiko wapi? Hawakuwezi na uko nyuma ya nondo??
Kesi itaendelea hadi lini mleta habari?Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
View attachment 3385730
MPAKA LINI ? HAJUI MUDA UNAENDA ?ATAWASHINDAJE? UNAWEZA KSHINDANA NA SERIKALI? MWISHO WAKISEMA HAWANA NIA NA JESI NDIYO USHINDI? AACHE UJINGA NAYE HUIYU CHIZIUkweli huwa unamweka mtu huru hata kama yuko kizuizini.....anajua watesi wake hawatamshinda
Mbona umekasirika kwani Lissu kakukosea nini?MPAKA LINI ? HAJUI MUDA UNAENDA ?ATAWASHINDAJE? UNAWEZA KSHINDANA NA SERIKALI? MWISHO WAKISEMA HAWANA NIA NA JESI NDIYO USHINDI? AACHE UJINGA NAYE HUIYU CHIZI
U are an idiot! May God pardon u!Kachanganyikiwa
Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
View attachment 3385730
Ulinzi anaopewa ni zaidi hata ya anaopewa saa 100Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
View attachment 3385730
No reformWakuu,

Hujielewi weweWhat's mpiganieni atoke huko aliko, hayo maneno sijui kama yatasaidia
Kwakweli. Mtu yupo ndani eti hawamuwezi? Nyoo!! Kama hawamuwezi atoke jela tuone! Nyambafu!!Kachanganyikiwa
Kwakweli. Mtu yupo ndani eti hawamuwezi? Nyoo!! Kama hawamuwezi atoke jela tuone! Nyambafu!!
Kwani nani kamuweka ndani? Chadema? Ahahahahaha!!..anamaanisha Samia na CCM hawamuwezi.
..ndio maana wamekimbilia kuomba msaada wa vyombo vya ulinzi kupambana na Lissu na Chadema.
MPAKA LINI ? HAJUI MUDA UNAENDA ?ATAWASHINDAJE? UNAWEZA KSHINDANA NA SERIKALI? MWISHO WAKISEMA HAWANA NIA NA JESI NDIYO USHINDI? AACHE UJINGA NAYE HUIYU CHIZI
Kuna kitu alisema" Nimeambiwa na ninafatilia"..... nilijiuliza anaambiwa wapi na anafatiliaje aliwa mahabusu?Wakuu,