Hata kama mpaka mwakani, lakini HAWATASHINDA...!!
Muda wako wewe ndo unaenda. Si unataka ukatiki Oktoba? Sisi tunasema
View attachment 3385811
Hujui atawashindaje?
It's simple kwa sababu watathibitisha wenyewe kuwa ni waongo, walifungua mashitaka ya uongo. Walimbambikizia kesi!!
Kumbe hapo wanafanya nini? Serikali yako ndiyo inayoshindana na Lissu na CHADEMA lakini, HAIWEZI KUSHINDA..!!
Kumbe unajua? Sasa huko si ndiko kushindwa kwenyewe, au...?
Mjinga na chizi ni wewe na watawala wanaopenda dhuluma na kutumia polisi na mahakama kuonea raia wasio na hatia..!!
Lakini, mwisho wenu umefika!