PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hiyo inamaanisha jela za Tanzania ni nzuri sana na zinafuata viwango vya kimataifa vya kujali haki za binadamu. Hapo hata "Wazungu" wenu wanaikubali Tanzania. Hapo kimya kimya anakisogelea kitanzi! Ahahahahaha! Daaaaaadeki!
Jela za ibirisi ccm Polisiccm magerezaccm mahakamaccm ni mbaya na za hovyo isipokuwa masikari wa magereza wameingiwa na imani huruma upendo juu ya Lisu kwani mungu yupo nae na wanajua Lisu anaonewa
 
He's just a piece cake. You know what I mean fella?
Wewe chauma ubwabwa upo wapi huko unapovuta bangi? au upo Ghetto kwa Salum mwalimu ? Hako kakingereza kako ka Ugoko peleka huko kwa mashetani wenzako
 
Chawaccm ibirisi wote wa ccm Tambueni kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake walikuwepo makaburu, Elibashiri, mabutu, Chiluba, Bokasa, iddy Amin Dada makatili madikiteta hatari leo hii wapo wapi ? Mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar anawanyanyasa watanganyika lakini mwisho wake haupo mbali na muungano utakufa Tanganyika iwe Huru
 
Jela za ibirisi ccm Polisiccm magerezaccm mahakamaccm ni mbaya na za hovyo isipokuwa masikari wa magereza wameingiwa na imani huruma upendo juu ya Lisu kwani mungu yupo nae na wanajua Lisu anaonewa
Kwani mimi ndio nimeyasifia magereza ya Tanzania au mwenzako ndio kayasifia? Allaah!!
 
Kuwa nyuma ya nondo siyo kushindwa. Ukizingatia kesi zenyewe ni za kubambika na na za uonevu.

Mwenyekiti wako anajua hawezi kupambana naye kwenye kura. Uoga tu na ulafi unawasubua wanadhani nchi ni mali yao.
Mwanzoni waliona kudeal na Mkt wataidhibit CDM. Baada ya kugundua kuna Heche, xaxa wanaanza mafigisu - mara kukiukwa Ktb, mara ruzuku, mara mikutano kw muda ...nk. Na xaxa wanajua akitoka TAL akashrkiana na Heche dunia itawawia jehanam. Hivo tutegmee wataahirisha ahirisha kumtoa mpk baada ya uchagzi ...nk
 
..ulimuona Samia au Abduli akienda kumkamata Lissu?

..Samia hana uwezo ndio maana amefichama nyuma ya Polisi, na Mahakama.

..Hizi ni SIASA, hivyo masuala yote yanatakiwa yamalizwe kwa kujenga hoja.
Muungano ufe Tanganyika iwe huru mkoloni kaburu Dikteta mama iddy Amin Dada arejee kwao Zanzibar
 
MPAKA LINI ?
Hata kama mpaka mwakani, lakini HAWATASHINDA...!!
HAJUI MUDA UNAENDA ?
Muda wako wewe ndo unaenda. Si unataka ukatiki Oktoba? Sisi tunasema
20250627_101250.jpg

ATAWASHINDAJE?
Hujui atawashindaje?
It's simple kwa sababu watathibitisha wenyewe kuwa ni waongo, walifungua mashitaka ya uongo. Walimbambikizia kesi!!
UNAWEZA KSHINDANA NA SERIKALI?
Kumbe hapo wanafanya nini? Serikali yako ndiyo inayoshindana na Lissu na CHADEMA lakini, HAIWEZI KUSHINDA..!!
MWISHO WAKISEMA HAWANA NIA NA JESI NDIYO USHINDI?
Kumbe unajua? Sasa huko si ndiko kushindwa kwenyewe, au...?
AACHE UJINGA NAYE HUIYU CHIZI
Mjinga na chizi ni wewe na watawala wanaopenda dhuluma na kutumia polisi na mahakama kuonea raia wasio na hatia..!!

Lakini, mwisho wenu umefika!
 
Mwanzoni waliona kudeal na Mkt wataidhibit CDM. Baada ya kugundua kuna Heche, xaxa wanaanza mafigisu - mara kukiukwa Ktb, mara ruzuku, mara mikutano kw muda ...nk. Na xaxa wanajua akitoka TAL akashrkiana na Heche dunia itawawia jehanam. Hivo tutegmee wataahirisha ahirisha kumtoa mpk baada ya uchagzi ...nk
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya unaenda kutimia ibirisi wa ccm watakwenda kama ilivyokuwa Zambia na Senegal
 
Lisu ✌️
Anang'aa, ana smile kapendeza kuliko hata tulio uraiani.

Mungu wa mbinguni amlinde, moyo wangu unafurahi sana kumuona.
 
Back
Top Bottom