PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

PreGE2025 Video: Alichokisema Lissu wakati anaondolewa kizimbani leo. Asema "Hawatuwezi"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani nani kamuweka ndani? Chadema? Ahahahahaha!!

..ulimuona Samia au Abduli akienda kumkamata Lissu?

..Samia hana uwezo ndio maana amefichama nyuma ya Polisi, na Mahakama.

..Hizi ni SIASA, hivyo masuala yote yanatakiwa yamalizwe kwa kujenga hoja.
 
Kwakweli. Mtu yupo ndani eti hawamuwezi? Nyoo!! Kama hawamuwezi atoke jela tuone! Nyambafu!!
Imagine mtu yuko jela na anakwambia hamniwezi na unaona anapendeza, anang'aa na anafuraha kuliko sisi tunaolala na Neti bila mbu
 
So what? Wako wapi aliowategemea kukinukisha? Alisema yeye anauwezo wa kuliamsha sio Kama wengine magoi goi kiko wapi? Hawakuwezi na uko nyuma ya nondo??
Kuwa nyuma ya nondo siyo kushindwa. Ukizingatia kesi zenyewe ni za kubambika na na za uonevu.

Mwenyekiti wako anajua hawezi kupambana naye kwenye kura. Uoga tu na ulafi unawasubua wanadhani nchi ni mali yao.
 
So what? Wako wapi aliowategemea kukinukisha? Alisema yeye anauwezo wa kuliamsha sio Kama wengine magoi goi kiko wapi? Hawakuwezi na uko nyuma ya nondo??
Nyinyi umbwa tunawalia timming tu..kukinukisha kuko pale pale...Muda utaongea...
 
Utajikojolea binti we unaweza kunukisha kitu gani?
Wewe chawa umeona Kenya? Watu wamejikatia tamaa ajira hamna wanapeana TU; na tz hivyo hivyo watu wamestaafu bado wanapewa ajira Tena, vijana wanaambiwa wajiajiri! Pumbavu sana!
 
..ulimuona Samia au Abduli akienda kumkamata Lissu?

..Samia hana uwezo ndio maana amefichama nyuma ya Polisi, na Mahakama.

..Hizi ni SIASA, hivyo masuala yote yanatakiwa yamalizwe kwa kujenga hoja.
Ahahahahaha!
 
Imagine mtu yuko jela na anakwambia hamniwezi na unaona anapendeza, anang'aa na anafuraha kuliko sisi tunaolala na Neti bila mbu
Hiyo inamaanisha jela za Tanzania ni nzuri sana na zinafuata viwango vya kimataifa vya kujali haki za binadamu. Hapo hata "Wazungu" wenu wanaikubali Tanzania. Hapo kimya kimya anakisogelea kitanzi! Ahahahahaha! Daaaaaadeki!
 
Back
Top Bottom