Hata kama mpaka mwakani, lakini HAWATASHINDA...!!
Muda wako wewe ndo unaenda. Si unataka ukatiki Oktoba? Sisi tunasema
View attachment 3385811
Hujui atawashindaje?
It's simple kwa sababu watathibitisha wenyewe kuwa ni waongo, walifungua mashitaka ya uongo. Walimbambikizia kesi!!
Kumbe hapo wanafanya nini? Serikali yako ndiyo inayoshindana na Lissu na CHADEMA lakini, HAIWEZI KUSHINDA..!!
Kumbe unajua? Sasa huko si ndiko kushindwa kwenyewe, au...?
Mjinga na chizi ni wewe na watawala wanaopenda dhuluma na kutumia polisi na mahakama kuonea raia wasio na hatia..!!
Lakini, mwisho wenu umefika!
kweli.Kachanganyikiwa
Unaweza kuwa nyuma ya nondo purposely siyo kwamba alishindwa kutokuwa nyuma ya nondo. Au unadhani akikiamsha wewe mwenyewe utakubali? Kuna timing Boss.So what? Wako wapi aliowategemea kukinukisha? Alisema yeye anauwezo wa kuliamsha sio Kama wengine magoi goi kiko wapi? Hawakuwezi na uko nyuma ya nondo??
Hv wale machawa wa ccm huwa wanajiuliza kwanini kachelo senior mzee pinda hajawahi kutia neno kuhusu Lisu?anajua kilichonyuma ya Lisu(akili kubwa),Wakuu,
Yaani Lissu pamoja na kukaa gerezani siku zote hizo lakini ana nuru na anazidi kuwapa wanachama anawaongoza matumaini
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati Lissu anaondolewa kizimbani
View attachment 3385730
Leo naona kulikuwa na Polisi professional mahakamani maana hawakuwa wanagawa vipondo kwa wananchi waliokuwa waki shout No Reforms No Election...