VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

Askari awe mzalendo, tukiongezeana mishahara tutajenga SGR ? Sote Tufunge mkanda ili tujenge nchi, nasema uongo ndugu zangu ?
 
Hao wanaopewa 30K ya taulo za kike, ina maana maana kwa mwezi wanavaa pakiti 10 kweli tena za sh 3000 kila moja?
 
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!

Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.
Na wewe unaamini kama analilia PEDI mkuu? Kasema elfu 30, pedi hata elfu kumi haifiki; hiyo inaongeza net pay/take home
 
Na wewe unaamini kama analilia PEDI mkuu? Kasema elfu 30, pedi hata elfu kumi haifiki; hiyo inaongeza net pay/take home
Kutumia pedi kama kigezo cha kuongezewa pato huoni huo ni uzwazwa? Yani kwakuwa eti mbona JWTZ wanapewa.... vipi kwani walimu, manesi, wahasibu, makarani et el wanapewa???
 
Kutumia pedi kama kigezo cha kuongezewa pato huoni huo ni uzwazwa? Yani kwakuwa eti mbona JWTZ wanapewa.... vipi kwani walimu, manesi, wahasibu, makarani et el wanapewa???
Mkuu Aspirin, heshima kwako mhenga mwenzangu. Namtetea huyo dada/mama cause hao wengine uliowataja si ndio yule sajenti katolea mifano kwamba wanawazidi mishahara wao; huyu dada/mama katolea mfano wa askari wenzie, kaona asitoke nje ya washika bunduki wenzie so bado namuunga mkono
 
Heshima kwako pia mhenga mwenzangu...

Nimekuelewa sana kiongozi. Ila namwonea huruma huyo mdada kwa kujenga hoja kwa mtindo huo...

Serikali sikivu inaweza kuwapa vitambulisho kama vile vya mjasiriamali... ikiwataka kila mwisho wa mwezi waende hospitali za rufaa kuchukua pedi.... hahahah LOL
 
Haa ha ha, kwahiyo sisi tulioko hospital tutakua tunajua tu leo dada Esther ana bleed, kama nataka kumtundika mimba nahesabu siku tu!
 
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!

Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.

Mkuu kwanza pedi inabidi ziwe bure nchi nzima kwa wanawake wote.

Pili, maombi ya huyu dada ni valid, kasema kitengo kingine wanapewa 30k kwa mwezi ya pedi, kwanini wao hawapewi? Wapewe wote au wote wasipate.
 
Ndo yale namtongoza demu anakukatalia afu unamwambia mbona ulimpa Rashidi...

Basi sawa...
 
Ni haki yao kudai haki sawa kama KE wa JWTZ wanalipwa pesa ya taulo za KE nao walipwe vyuma vimekaza na kidogo kidogo hujaza KIBABA ikiwemo vijisenti vya taulo za KE.
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!

Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.
 
JWTZ moto wa kuotea mbali.
Hata kama una vyeti akini cheo unahenyea, ndio maana tuna jeshi zuri sana kiutendaji.
Tunaona Nigeria wanavyohenyeshwa na Boko Haram, mfano wa Kbiti ni ushahidi tosha juu ya umahiri wa Jeshi letu.
Walioimaliza issue ya Kibiti ni polisi na hao wengine. Jw wanasifa zao lakini sio kwenye hili.
Turudi kwenye mada mkuu.
 
Eti anauliza kama wao wamelaaniwa? jawabu ni ndio! Hakuna raia hata mmoja ambae hajawahi kuwalaani nyinyi kwani madhila na usumbufu mnaotufanyia hamuujui? Si nyie ndio mnaojifanya miungu? Mnakamata mtu badala ya kufuata sheria na mafunzo ya kazi zenu mnageuka kuwa wafungua mashitaka, mawakili na majaji. Ni wapi panapowapa nyinyi uhuru wa kuwapiga watuhumiwa? Unalalamika mshahara mdogo kuliko wafanyakazi wa sekta nyengine, mbona umesahau kusema kuwa ni sekta yenu tu ambayo mnaweza kujiongezea kipata chenu kila siku kwa kupokea rushwa kwa vitisho ikiwa pamoja na kusingizia watu kesi bandia?
 
wakati kawataka na wakubwa zake wa hightable kwamba nao wana mshahara sungura[emoji28][emoji28][emoji28].

labda wawe wamerogwa kama alivyosema.vinginevyo wanatakiwa wamshukuru tu.
Wanajitoa ufahamu tu
 
View attachment 1725896
"Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara, Sijui tuna laana hapa" - Askari mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi

Baadhi ya askari wamepata nafasi ya kuzungumzia vitu mbalimbali ikiwemo stahiki zao katika mkutano wa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo uliouhusisha askari wapambanaji wanaotoka kwenye Idara zilizopo chini ya wizara hiyo uliofanyika mkoani Singida
Kazi ya mwela haikupaswa kulipwa mshahara hata kidogo, ulitakiwa kila unachokitaka unapata free aka bure yaani unaonesha ganda dukani unapatiwa wahitaji yote ikiwemo mama na mtoto na mwenyeduka anaituma cop ya risiti ktk ofisi maalum ya mwela kwa ajili ya kulipwa pesa yake au vp baabu.

Mwela = police kitaani kwetu aka maskani
 
mi nikisikia hawa fisi maji wanalialia huwa nafurahi sana ikiwezekana wapunguziwe zaidi hiyo mishahara
 
Back
Top Bottom