Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unaamini kama analilia PEDI mkuu? Kasema elfu 30, pedi hata elfu kumi haifiki; hiyo inaongeza net pay/take homeHuyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!
Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.
Kutumia pedi kama kigezo cha kuongezewa pato huoni huo ni uzwazwa? Yani kwakuwa eti mbona JWTZ wanapewa.... vipi kwani walimu, manesi, wahasibu, makarani et el wanapewa???Na wewe unaamini kama analilia PEDI mkuu? Kasema elfu 30, pedi hata elfu kumi haifiki; hiyo inaongeza net pay/take home
Mkuu Aspirin, heshima kwako mhenga mwenzangu. Namtetea huyo dada/mama cause hao wengine uliowataja si ndio yule sajenti katolea mifano kwamba wanawazidi mishahara wao; huyu dada/mama katolea mfano wa askari wenzie, kaona asitoke nje ya washika bunduki wenzie so bado namuunga mkonoKutumia pedi kama kigezo cha kuongezewa pato huoni huo ni uzwazwa? Yani kwakuwa eti mbona JWTZ wanapewa.... vipi kwani walimu, manesi, wahasibu, makarani et el wanapewa???
Heshima kwako pia mhenga mwenzangu...Mkuu Aspirin, heshima kwako mhenga mwenzangu. Namtetea huyo dada/mama cause hao wengine uliowataja si ndio yule sajenti katolea mifano kwamba wanawazidi mishahara wao; huyu dada/mama katolea mfano wa askari wenzie, kaona asitoke nje ya washika bunduki wenzie so bado namuunga mkono
Haa ha ha, kwahiyo sisi tulioko hospital tutakua tunajua tu leo dada Esther ana bleed, kama nataka kumtundika mimba nahesabu siku tu!Heshima kwako pia mhenga mwenzangu...
Nimekuelewa sana kiongozi. Ila namwonea huruma huyo mdada kwa kujenga hoja kwa mtindo huo...
Serikali sikivu inaweza kuwapa vitambulisho kama vile vya mjasiriamali... ikiwataka kila mwisho wa mwezi waende hospitali za rufaa kuchukua pedi.... hahahah LOL
Hahahah mkuu huo sasa ndo unaitwa uchochezi hahahaa dah...Haa ha ha, kwahiyo sisi tulioko hospital tutakua tunajua tu leo dada Esther ana bleed, kama nataka kumtundika mimba nahesabu siku tu!
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!
Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.
Zima moto yulePGO ndio nini? Huyo Mwanadada ukimtazama mavazi yake ni polisi?
Mkuu kwanza pedi inabidi ziwe bure nchi nzima kwa wanawake wote.
Pili, maombi ya huyu dada ni valid, kasema kitengo kingine wanapewa 30k kwa mwezi ya pedi, kwanini wao hawapewi? Wapewe wote au wote wasipate.
Huyo mwanadada naye anataka hela ya pedi.... dah!
Hii mijamaa inajua kujidhalilisha sana. Ndo maana meko & team wanawaendesha kama misukule.
Walioimaliza issue ya Kibiti ni polisi na hao wengine. Jw wanasifa zao lakini sio kwenye hili.JWTZ moto wa kuotea mbali.
Hata kama una vyeti akini cheo unahenyea, ndio maana tuna jeshi zuri sana kiutendaji.
Tunaona Nigeria wanavyohenyeshwa na Boko Haram, mfano wa Kbiti ni ushahidi tosha juu ya umahiri wa Jeshi letu.
Hu uchumi wa kati inatakiwa na mawazo yetu yakae kiuchumi wa katikati vile vileHahahah mkuu huo sasa ndo unaitwa uchochezi hahahaa dah...
Mejikuta nacheka msibani wallah...
Wanajitoa ufahamu tuwakati kawataka na wakubwa zake wa hightable kwamba nao wana mshahara sungura[emoji28][emoji28][emoji28].
labda wawe wamerogwa kama alivyosema.vinginevyo wanatakiwa wamshukuru tu.
Kazi ya mwela haikupaswa kulipwa mshahara hata kidogo, ulitakiwa kila unachokitaka unapata free aka bure yaani unaonesha ganda dukani unapatiwa wahitaji yote ikiwemo mama na mtoto na mwenyeduka anaituma cop ya risiti ktk ofisi maalum ya mwela kwa ajili ya kulipwa pesa yake au vp baabu.View attachment 1725896
"Mke wangu ni Mwalimu lakini ananizidi mshahara, Sijui tuna laana hapa" - Askari mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Baadhi ya askari wamepata nafasi ya kuzungumzia vitu mbalimbali ikiwemo stahiki zao katika mkutano wa Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo uliouhusisha askari wapambanaji wanaotoka kwenye Idara zilizopo chini ya wizara hiyo uliofanyika mkoani Singida
We kijamaa kibishiHayo ndo maneno ya kimajungu, hauongei facts zozote upo unaongea maneno matupu