VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

Dawa ya kayuguyugu hapo alipo haelewi kwann kafunga ndoa siyo akili yake haipo sawa hapo ndo maana anashangaa tu.

Mkuu, hii kayuguyugu ndo GUSA UNASE? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hii hatari ukipigwa hii leo kesho unatangaza ndoa hata kama utakosa mshenga unaweza shangaa unakodi mtu awe mshenga wako. Si unaona jamaa kaamua kumtumia Eng Hersi kufanikisha jambo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mkuu, hii kayuguyugu ndo GUSA UNASE? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
ndio bas tena, ameumaliza mwendo ktk uchumi wake.
si mchezo kumiliki mashine ya kusaga na kukoboa pesa.
 
Hii hatari ukipigwa hii leo kesho unatangaza ndoa hata kama utakosa mshenga unaweza shangaa unakodi mtu awe mshenga wako. Si unaona jamaa kaamua kumtumia Eng Hersi kufanikisha jambo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Lakini si ina expire date?
Kama kapigwa nayo muda ukifika atarudi kwao pasipo kugeuka nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ