much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Hiyo shamba unakuwa umelima wewe?inaruhusiwa.haujaiba umeokota.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo shamba unakuwa umelima wewe?inaruhusiwa.haujaiba umeokota.
Ukiokota kitu sio mali yako salimisha polisikilichoanguka chini sio mali yako.kwa hyo ukiokota hela unakuwa umeiba?
kwa hyo itakuwa mali ya polisi uliyempelekea!?hayaaUkiokota kitu sio mali yako salimisha polisi
niwe mimi au wewe.huku kwetu bagamoyo na pwani nzima vyakula vinavyodondoka wewe okota tu kula.na ukiweza beba.kwanza nazi mpaka idondoke chini ni wazi imeshakauka.Hiyo shamba unakuwa umelima wewe?
Hujawahi ibiwa weweHata kama alikuwa anaiba hakupaswa kumfanyia ivo ...angemweka chini ya ulinzi na kumkabidhi kwa vyombo vya usalama
Huyo dogo mwizi saa kumi usiku unatafuta Nini kwenye majumba ya watu?Nimemskia huyo kijana aisee amefanyiwa kitendo cha kinyama sana...!!
Huyo mwakinyo ngumi zimemshinda amebaki kumake headline kwa mambo ya kipuuzi kama hili la kuonea watu, mjinga sana huyo mwa k
06 March 2025
Sahare, Tanga Mjini
Tanzania
WANANCHI WADAI WALISIKIA KELELE ZA KIJANA KUANZIA SAA KUMI ZA USIKU (ALFAJIRI), ILA HAWAKUJUA ZINATOKEA WAPI ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=9LMiRhua7qs
Wakaazi wa kitongoji cha Sahare mjini Tanga, wadai watoto / vijana wa Sahare hawawezi kujizuia kwa kuwa ni waroho / wamelo wa maembe, nazi n.k hivyo ni hatari ....
Mafanikio gani Maku tu huyo kmamae zake popote alipo MwakinyoDuh nyinyi ndio wale wanaitwa wachawi wa mafanikio ya watu.
Wezi ndo unawaita wandewa?Wanasema Nabii hakubaliki kwao ila kwa vitendo alivyofanya mwakinyo hapo wandewa hawana makosa wakijichukulia sheria mkononi ya kuichoma moto nyumba ya mwakinyo.
Yaani wandewa wamemkataa mazima Mwakinyo.
Huyo dogo mwizi saa 9 usiku unafanya nini kwenye fence ya mtu?Nimemskia huyo kijana aisee amefanyiwa kitendo cha kinyama sana...!!
Huyo mwakinyo ngumi zimemshinda amebaki kumake headline kwa mambo ya kipuuzi kama hili la kuonea watu, mjinga sana huyo mwa k
Wewe ulimuona hiyo saa tisa usiku??Huyo dogo mwizi saa 9 usiku unafanya nini kwenye fence ya mtu?
Huu ni unyama na ukatili na Mwakinyo anatakiwa apate adhabu. Hata kama ni mwizi huwezi kufanya hivi. Na hata kutumia ngumi ni kosa.Kwa nini hakutumia ngumi akatumia kisu...mwakinyo ni boya
Ulikuwepo eneo la tukio na ukathibitisha alikuwa anataka kuiba? Au uchawa kwa mwakinyo unakusumbua?Huyo dogo mwizi saa kumi usiku unatafuta Nini kwenye majumba ya watu?
Wezi ndo unawaita wandewa?