Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

Hiyo shamba unakuwa umelima wewe?
niwe mimi au wewe.huku kwetu bagamoyo na pwani nzima vyakula vinavyodondoka wewe okota tu kula.na ukiweza beba.kwanza nazi mpaka idondoke chini ni wazi imeshakauka.
 
Kwamba kijana alikua anaenda kwenye shughuli zake ila nazi zikamvutia akaanza kuokota duh aliyemfundiaha uongo arudi tena ampe tuishen kali aache wizi
 
Mwizi baada ya kupata posho yake anataka kugeuza kibao
 
Huyo Kijana ni MWIZi mzoefu....na alijichanganya kaingia 18. hiyo ndio dawa ya wezi.
tunapaswa kufuga mbwa wengi zaidi kwaajili ya kuwadhibiti vibaka hawa.
anajiita beach boy....mishemishe....mwizi
 
06 March 2025
Sahare, Tanga Mjini
Tanzania

WANANCHI WADAI WALISIKIA KELELE ZA KIJANA KUANZIA SAA KUMI ZA USIKU (ALFAJIRI), ILA HAWAKUJUA ZINATOKEA WAPI ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=9LMiRhua7qs
Wakaazi wa kitongoji cha Sahare mjini Tanga, wadai watoto / vijana wa Sahare hawawezi kujizuia kwa kuwa ni waroho / wamelo wa maembe, nazi n.k hivyo ni hatari ....

Wanasema Nabii hakubaliki kwao ila kwa vitendo alivyofanya mwakinyo hapo wandewa hawana makosa wakijichukulia sheria mkononi ya kuichoma moto nyumba ya mwakinyo.

Yaani wandewa wamemkataa mazima Mwakinyo.
 
Nimemskia huyo kijana aisee amefanyiwa kitendo cha kinyama sana...!!

Huyo mwakinyo ngumi zimemshinda amebaki kumake headline kwa mambo ya kipuuzi kama hili la kuonea watu, mjinga sana huyo mwa k
Huyo dogo mwizi saa 9 usiku unafanya nini kwenye fence ya mtu?
 
Ni mwizi w nazi uyo mussa. Kutoka chanzo changu mjini tanga.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wezi ndo unawaita wandewa?

Haiwezekani vijana ,wamama na wababa wa kitaa wakukatae wote ,kuna kitu hakipo sawa kwa Mwakinyo.

Yule jamaa ni mwizi kweli ila sheria haziruhusu kumpiga mwizi ,vipo vyombo vya kisheria vinavyoshughulika na wahalifu ,Mwakinyo aombe tu yule mwizi apone ,akivuta kamba mwakinyo atakabiliwa na kesi ya mauaji ila kwasasa kesi yake ni shambulio la kudhuru mwili.

Mwizi amehojiwa anasema kwamba alikuwa anapita tu njiani akaziona nazi 6 akaokota then mbwa walivyopiga kelele mwakinyo ndiyo akatoka na kumkata ,je mwakinyo atajinasuaje kwenye maelezo ya mwizi? Ndiyo umuhimu wa kufunga CCTV camera unapoonekana.

Kama Mwakinyo amefunga CCTV camera lazima footage ya tukio litakuwa limeonekana.
 
Back
Top Bottom