Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Mungu atusaidie kuwalea katika njia iwapasayo...naaamini hata na wewe ni mzazi kama sio utakuja kuwa...kulea kwa sasa tunahitaji nguvu ya Mungu..sio kwa kushinda makanisani au misikitini bali kwa kuomba individualy kama mzazi na ukae krb na wtt wako kama mzazi..otherwise we are finished...
 
Sasa watoto kuanzia asubuhi mpk jioni anasikiliza bongo fleva,tv anaangalia mauno
Redion anafatilia mazungumzo ya kimbea ya kina lokole sjui kmbka

Ova
 
Majeshi yamechangia sana kukua kwa huu mchezo hasa Wanapokuwa vitani au kwenye operesheni ya muda mrefu.
Huwa wanarukiana sana.
Asian hasa Japan wanalaumu sana Majeshi mana wakati wa vita zilee za miaka Ile ndio waliochangia kushika kasi kwa mambo haya.
 
Ndo apo sasa tunakoelekea ndo balaa
Hawa jamaa watakuwa ni wagonjwa wa akili.

Nadhani kutakuwa na influence mahali ya kutaka kupunguza idadi ya watu kwa style hii, manake wanajua kabisa kama Me ataingiliana na Me mwenzie manake hawataweza kuzaliana, vivyo hivyo Ke akisagana na Ke mwenzie.

Tuungane kukataa huu Ufirauni, ni chukizo kwa Mungu lakini pia ni kinyume cha mila na tamaduni zetu
 
Kunahaja kubwa ya jeshi zima kufanya ukaguzi kuna video imesambaa sana ya kijana wa jeshi shoga akizagamuliwa huko zanzibar dah aisee hv ili swala la ushoga serikali kama imelinyamazia hv hii ni hatar nimeangalia video mara60 siamini wadau tufanyeje ili hii hali isizidi kusambaa kwa kasi???dah
 
Kama hapa ofisini kwangu kuna kaka nilikuwa namheshim alikuwa karibu mno na kijana wangu wa kazi siku kijana ana nambia jamaa ana mlazimisha amkule tena kwa kunionesha sms kwenye simu nilishangaa mno 😳😳😳 jamaa ana Mwanamke anaishi nae.Kwa kweli tuombe sana Mungu atuepushe na vizazi vyetu.
 
Unaendeleza uovu.

Wakati mwingine kitu unapokikemea Sana ndiyo unakifanya kikae kichwani kwa watu. Kuna ambao watauja pm kukuomba hiyo video kwa sababu tu wewe umeanzisha uzi na wao wakauona. Na huwezi jua katika hao ambao wanaona hiyo video badala ya kupinga,kinyume chake watashawishika kutaka kufanya au kufanyiwa. Hii huwa ni Vita ya nafsi,binadamu ni kiumbe mwenye kupenda kujaribu Sana.

Kitu kinachoimbwa Sana ndicho chenye kukaa kwenye akili (minds) za watu. Unaongeza tatizo.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 

Leo yamekua hayo,ninyi si ndio kila siku kuushambulia ukristo kuwa umeruhus huo ufuska,absurd
 
Nimesema... kuwa ushoga upo askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534416
Askari ni kazi na nje ya kazi askari ana utaratibu wa maisha yake binafsi, jeshi la polisi litatoa ufafanuzi endapo kitendo hicho kilifanyika ndani ya vituo au ofisi zao; hata hivyo sidhani kuwa jeshi la polisi linao utaratibu wa kuwakagua maungoni askari wake walilalaje huko makwao.
 
Anahitaji msaada mkubwa vipi wakati wao awamu hii wametaka wajulikane kama wapo na wana haki zao!

Huoni humu hadi mods wanawaacha wanaandika ujinga ujinga wao hawapigwi BAN wala kuonywa ila tunaonywa sisi tunaojaribu kuwakataa?
 
nitumie pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…