Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Hivi anaweza hata kushika pingu huyu kweli?Nimesema... kuwa ushoga upo serikalini.. askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534415View attachment 2534416
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi anaweza hata kushika pingu huyu kweli?Nimesema... kuwa ushoga upo serikalini.. askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534415View attachment 2534416
Tamthiliya hizo siyo kabisa na wabongo wanazipenda kuzifatiliaSasa ukatili ungeanzia hapo
kila mtu aone..hata tamthilia za kifilipino nazo ni pendwa na zote hukosi shoga ndani...zipigwe marufuku kwenye local channels
Ukweli ndo huo kuna aina ya mziki unaalibu mindset za wanaume kama bongo fleva masingeli nkWatu wakisema ohh mnawaonea wivu
Ova
Exactly tatizo liko kote my friend Tanzania nzima bara,pwani,kusini na kaskaziniTusithubutu kurushiana mpira mara huyu wa pwani au wa bara tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria
Viongozi,wakuu wa mkoa wakuu wa wilaya wapo kimya
Matamasha yote huko ni ushoga ushoga tu
Ova
Hilo gari limeshatiwa nuksi kubwa sanaNimesema... kuwa ushoga upo serikalini.. askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534416
We unajitambua au umeandika kwa huruma gani. We utakuwa unasapoti ushoga au we ndo single mother kudekeza vitoto vyenu mwisho kupakatwa na mauncle. Hakuna anayekudharirisha wew mwenyewe ukitenda uovu utaonekana tu. Malipo hapa duniani. Unafichaje maovuHuu ni udhalilishaji mkubwa hata wew ULIE post....it's not fair..
Msimamo wangu siungi mkono ushoga
Kwanini Hilo jambo lingepelekwa Kwa viongozi wake kisha likamalizwa huko...sio uungwana kulifedhehesha jeshi
Napendekeza huu Uzi ufutwe sijui kwann haujafutwa mpk muda huu...
Yeah ni issue ya dunia na pandemic tena inakuja kwa kasi zaidi ya lile gonjwa hatari la COVID!! mungu atuepushe na hili janga...Tusithubutu kurushiana mpira mara huyu wa pwani au wa bara tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria
Ndo apo sasa tunakoelekea ndo balaaHivi kuna kitu gani cha ziada ambacho kinafanya uachane na kudate Me na Ke hadi iwe Me kwa Me?
Hivi na utamu wote ule wa Kei unahaingaika na Me mwenzio? Ujinga
Wamerekodi ili waweze kueneza haya mambo hao ni mashetani wapo kazini...kupitia hizi video naamini Taifa litakwenda kuharibika kabisaa...nachosema hapa zisizidi kusambaa ziwe zinafungwa kuepusha madhaara zaidi..Hiyo akili yako... wamerekodi za nini....
Kweli Kabisa,tumlilie Mungu atunusuru na janga hili.Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo
Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa
Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka
Nilipigwa bumbuwazi nilipopewa ubuyu na mental wangu kuwa pale kwa Mwamposa kuna mtangazaji wa redio na ni mwimbaji maarufu hapo ni shoga !!makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo
Zinafungwa na nani! sasa tatizo ni moja labda wafunge mitandao kwa muda . Ni kweli video kuendelea kusambaa ni athari kubwa ila hii uja pale mtu anapotaka ushahidi tambua watu usema me sikubali siyo yey mtu ujikuta unamtumia ili amini. Na kusambaza video sio kwa lengo baya ni kukufungua akili wewe mkanye mwanao acha kulea watoto kama mayai.Wamerekodi ili waweze kueneza haya mambo hao ni mashetani wapo kazini...kupitia hizi video naamini Taifa litakwenda kuharibika kabisaa...nachosema hapa zisizidi kusambaa ziwe zinafungwa kuepusha madhaara zaidi..
Mbona nyie Mtu wa imani Nyingine akifanya makosa mnatukana Dini yote?,Tulia sindano za moto ziwaingie Vizuri,tena tulia km maji mtungini.Niwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....