Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Huu ni udhalilishaji mkubwa hata wew ULIE post....it's not fair..

Msimamo wangu siungi mkono ushoga

Kwanini Hilo jambo lingepelekwa Kwa viongozi wake kisha likamalizwa huko...sio uungwana kulifedhehesha jeshi
Napendekeza huu Uzi ufutwe sijui kwann haujafutwa mpk muda huu...
 
Kama taifa tuwe na muongozo mpya wa maadili kuanzia malezi ya watoto wetu wakiwa wadogo, miongozo ya elimu, niliwahi kukutana na watoto Mkoa wa mara waliyonihadithia yanatisha wanaanza kufundishwa wakiwa wadogo kabisa lazima jamii sasa ione shida ni kubwa kuliko kishabikia
 
Huu ni udhalilishaji mkubwa hata wew ULIE post....it's not fair..

Msimamo wangu siungi mkono ushoga

Kwanini Hilo jambo lingepelekwa Kwa viongozi wake kisha likamalizwa huko...sio uungwana kulifedhehesha jeshi
Napendekeza huu Uzi ufutwe sijui kwann haujafutwa mpk muda huu...
We unajitambua au umeandika kwa huruma gani. We utakuwa unasapoti ushoga au we ndo single mother kudekeza vitoto vyenu mwisho kupakatwa na mauncle. Hakuna anayekudharirisha wew mwenyewe ukitenda uovu utaonekana tu. Malipo hapa duniani. Unafichaje maovu
 
Hivi mnaanzanje kuangalia hizo connection za kifirauni?? Mi siwezi aisee sina moyo huo..Mungu atusaidie...macho ndo mlango wa vitu vyote vibaya..kwanini tusipinge hizi video kusambaa? Maana toka zianzwe kurushwa naona ndo zinazidi na watu mnaangalia tuu..hamuoni kwamba zinawapelekea na nyie kwny ushetani?
 
Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo

Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa

Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka
Kweli Kabisa,tumlilie Mungu atunusuru na janga hili.
 
Wamerekodi ili waweze kueneza haya mambo hao ni mashetani wapo kazini...kupitia hizi video naamini Taifa litakwenda kuharibika kabisaa...nachosema hapa zisizidi kusambaa ziwe zinafungwa kuepusha madhaara zaidi..
Zinafungwa na nani! sasa tatizo ni moja labda wafunge mitandao kwa muda . Ni kweli video kuendelea kusambaa ni athari kubwa ila hii uja pale mtu anapotaka ushahidi tambua watu usema me sikubali siyo yey mtu ujikuta unamtumia ili amini. Na kusambaza video sio kwa lengo baya ni kukufungua akili wewe mkanye mwanao acha kulea watoto kama mayai.
 
Niwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Mbona nyie Mtu wa imani Nyingine akifanya makosa mnatukana Dini yote?,Tulia sindano za moto ziwaingie Vizuri,tena tulia km maji mtungini.
 
Back
Top Bottom