PreGE2025 VIDEO: CHAUMMA wametoa wapi pesa? Tazama maandalizi ya Mkutano Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wadhamini wa kijani wamewezesha
 
Lugumi mtu wa kati, mama Kizi akumbuke Said kazama kwenye penzi la mrembo wa kinyarwanda
 
Roho inakuuma? Au una uchungu wa mimba?
Eti vigogo vigogo chadema wako lissu heche mnyika lema sugu mbowe na bon yai kwa mbaliiiii sasa sijui ni kigogo yupi hapo anakuja ubwabwani.
Maana wengine waliobaki ni wanachama wa kawaida tu wameenda kula ubwabwa wa CCM kwa muda fursa ndo hii
 
uko sahihi, Chadema pesa zao zinaishia kwenye whisky na nyama choma kwa mwenyekiti mpya 🐒
..waambie tiss wasipolipa gharama za huu utakatishaji sasa wanaoufanya kuunda upinzani feki kuombea misaada..watalipa wakiwa jehanam!
 
..waambie tiss wasipolipa gharama za huu utakatishaji sasa wanaoufanya kuunda upinzani feki kuombea misaada..watalipa wakiwa jehanam!
tone tone kidigitali na tone tone kwenye kibakuli zinaishia kwenye mipombe tu kama malofa vile 🐒
 
Zote hizi ni kodi za watanzania zinachezewa.

Hii sio siri hizi taarifa zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya wiki tatu sasa kwamba ni utekelezaji wa mipango ya dawati la siasa ikulu.

Ni upumbavu na ujinga Raisi na jopo lake kuchezea fedha za walipa kodi
 
Eti vigogo vigogo chadema wako lissu heche mnyika lema sugu mbowe na bon yai kwa mbaliiiii sasa sijui ni kigogo yupi hapo anakuja ubwabwani.
Maana wengine waliobaki ni wanachama wa kawaida tu wameenda kula ubwabwa wa CCM kwa muda fursa ndo hii
Hupendi?
 
Hatimaye si tetesi Tena,genge limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hata chembe ya aibu
Why wakifanya wengine tunachukia? Kwani hii si ndio demekrasia tunayoipambania?

Kila mmoja awe huru kuchagua chama anachotaka.
 
Pilia limeiva sasa kazi kwetu kwenda kulila..
 
Hamkuona kwenye ile document iliyovuja ya hazina, Katibu wa namba Moja amepewa 15B Kwa kazi maalumu

Hii Nchi aliyetuoroga aendelee kupumzika Kwa amani huko alipo
 
Wezi kama wezi wengine😂
 
Hela za kodi za masikini wa Tanzania zinapokwa na wajinga CCM kwenda kufanya haya maupuuzi kwa faida za CCM huku wananchi tukikosa huduma muhimu kama madawa hospitalini, maji safi na salama na miundombinu ya barabara.
 
Hizo ni kodi za wananchi karne unatumia nguvu kutengeneza upinzani fake ni kujidanganya mwenyewe ukweli uwa una speed ya kombe lakini haujawai kushidwa kufika kwenye safari yake ukweli mara zote uibuka kidedea mda utasema kutumia pesa nyingi hivi wakati tunajenga matundu ya vyoo kwa msaada wa Marekani ni aibu sioni ulazima wa kutumia pesa nyingi kutengeneza upinzani fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…