Huna akili sheheCHAUMMA ni chama makini kwenye matumizi ya hela zake. Sio kama CHADEMA hutembeza bakuli kwenye kila kitu.
Bahari Motors unawajua wewe??Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Ubwabwa vipiMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Wamepata pesa kutoka kwa wadau wa maendeleo.Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
KUSHIBA NA MAENDELEO.Ubwabwa vipi
Nje ya mada, kumbe ndiyo maana miaka yote umeishia kuwa fundi mchundo umeshindwa kujiongeza kielimu ingalau uwe mhandisi, unashindwa mitihani kizembe sana. Swali limeuliza Chauma wamepata wapi hela mimi nikajibu imetoka Ikulu wewe unaleta habari za Lissu kuchangiwa na CCM hivi una akili za kutosha kweli wewe?Mbona hata Lissu alichangiwa na CCM?
Amandla...
nawaunga mkono kabisaMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
kwahiyo chadema tu ndio ina hela dunia hii?Nje ya mada, kumbe ndiyo maana miaka yote umeishia kuwa fundi mchundo umeshindwa kujiongeza kielimu ingalau uwe mhandisi, unashindwa mitihani kizembe sana. Swali limeuliza Chauma wamepata wapi hela mimi nikajibu imetoka Ikulu wewe unaleta habari za Lissu kuchangiwa na CCM hivi una akili za kutosha kweli wewe?
Na wewe kumbe mpumbavu tu kama huyo mwenzako Fundi Mchundo tu.kwahiyo chadema tu ndio ina hela dunia hii?
watu 400 wakichanga 20,000 kila mmoja hawawezi kodisha ukumbi?
na pia unadhani Spunda ni masikini kama wewe?
waacheni watu wafanye siasa zao,wametoka huko wameenda pengine,a grown man kuulizia finances za wengine ni somekind ya gay tendencies
kwani nyie chadema hela ya ford foundation kutoka kenya sio hela ni karatasi zile?
acheni unaa!
Mwnyekiti alinukuliwa akisema kila wakati wa mkutano, ccm huwapa fedha... Tafsiri baki nayo wewe!Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
chadema siasa za makundi zimewamalizaNoted and answered watu tuliokuwa chadema ndio hao hao tupo chauma nao chadema is wracked
Easy, mzee wa msoga in combination with chukuwachakomapema, pse give us a tick!Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Bila shaka wamejiandaa kuleta upinzania dhidi ya CCM sio kama sisi tunaozira kama vitotoMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Rungwe alishasema ni kodi za wananchi.Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.