900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
ni kweli naona wanatumia vizuri hela ya abduli na saa100 kama walivyoelekezwaCHAUMMA ni chama makini kwenye matumizi ya hela zake. Sio kama CHADEMA hutembeza bakuli kwenye kila kitu.
MARA PAAAP MZEE WA UBWABWA NDIYO RAIS WATU WATAKULA WALI MPAKA BASIIIIWaaaaaa!
Wakuu, pameanza kuchangamka tayari!
Mara paap! CHAUMMA inashika dola!
wanachofanya chauma ni sawa na mwanamke aliyeachika kumringishia bwana wake kwa kumpata kijana wa bodabodaWaaaaaa!
Wakuu, pameanza kuchangamka tayari!
Mara paap! CHAUMMA inashika dola!
CcmMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
mawazo ya fundi mchundoInawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.
Amandla...
Inawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.
Amandla...
Si muda mtaanza na iko chama kukichafuaNgoja na mimi nijihimu niandae suti yangu, si ya kukosa hii
Nia ya kushika dola ungewaona wanapelekwa ACT Zambarao,hapa chama kina nia nyingine kabisa labda ni hiyo kiliba cha roho na mtakufa nacho.Mnawafukarisha wananchi ili wahongeke kirahisi na gawanya uwatawale sasa kwa mkoloni mweusi.Aibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!
kwahiyo pumbavu kwako wewe ni yeyote anaesapoti wanadamu wengine kuchagua mahali wanapoona kwao ni sawa kufanya siasa zao?Na wewe kumbe mpumbavu tu kama huyo mwenzako Fundi Mchundo tu.
CCM ya Samia ndiyo CCM ya mwisho kukaa madarakani .Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
chama la wanaaaa!Chauma mbele kwa mbele
Wewe ulikuwa nje ya mada,ulidandia hoja niliyomjibu Fundi Mchundo bila kufuatilia nilichomjibu wewe umekuja na kitu tofauti kabisa ndiyo maana nikakuona mpuuzi tu.kwahiyo pumbavu kwako wewe ni yeyote anaesapoti wanadamu wengine kuchagua mahali wanapoona kwao ni sawa kufanya siasa zao?
mwenye akili ni yule anaewatukana?
kama ni hivyo ni heri exactly niwe pumbavu according to your stupid definitions
chadema minions are so stupid mpaka it even hurts them back
100chama la wanaaaa!
watoe lipa namba tuwatumie hela za michango kabisa
siasa za itikadi,siasa za kistaarabu,siasa za mipango,siasa za matokeo
sio siasa za makundi,matusi,utengefu,mihemko,domo,kujisifu,dharau,etc
Ni kweli. Sina akili zinazoendana na upumbavu wakoHuna akili shehe
Kwani vyama vingine hela wanatoa wapi, acha umbea fanya mambo yako bwanamdogoMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Waache wamalize fungate waingie mtaani tupambane sasaMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Salumu mwalimu kahongwa mamilioni Toka ccm, Kwenda kwa mzee RUNGWE kununua chama na kuzawadiwa ukatibu mkuuMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
CCM ghafla umetokea kuwa kubali na kuwapenda CHAUMA ?CHAUMMA ni chama makini kwenye matumizi ya hela zake. Sio kama CHADEMA hutembeza bakuli kwenye kila kitu.