Huyu Valence Matunda ni hatari sana. Hata hapa Mbezi Makonde ana nyumba yake na jirani na ndugu yake aliye mkaribisha. Sasa huyo jirani yake ambaye ni shemeji yake alikuwa anakopa hela kidogo kidogo. Matokeo yake baada ya deni kuwa kubwa akamuambia amuongeze hela kidogo ili huyo shemeji yake amuachie nyumba wanayopakana. Jamaa akawa hana namna kachia nyumba na kapewa hela kidogo kahamia sijui Trgeta A.
Si kwamba ni mara ya kwanza Wizara ya Aridhi kuzingumzia kesi hii, hata Mh. Mabula alishawahi kuizungumza na kumtaja hadharani Bw. Valence Simon Matunda kama tapeli sugu. Inakuaje yupo mtahani mpaka leo🤔?
Jaji afungue kesi sasa, na sisi tutamfungulia ya kumvua UJAJI kupitia Judicial Srvice CommissionKwani waziri kusema tu hivyo ndiyo kumfanya 'jaji amsaidie tapeli'. Aende mahakamani ili mbivu na mbichi zieleweke. Kumwandikia tu waziri wa sheria hakusaidii kitu kwa tuhuma kama hizi. Lakini pia kama waziri hatakuwa na ushahidi wenye nguvu jaji anayeshutumiwa akifungua kesi ya madai kumshushishia heshima mbele ya jamii, patakuwa patamu hapo!
sasa uhatari wake upo wapi, wakati wewe huna pesa, na amekusaidia kukukopesha? mkiwa na shida mnaenda kwao, mkishindwa kurudisha deni mnaamua muwauzie tu nyumba mnalalamika kuwa ni watu wabaya. ongea kwa facts, ubaya wake kwa hiki ulichoongea ninini?Huyu Valence Matunda ni hatari sana. Hata hapa Mbezi Makonde ana nyumba yake na jirani na ndugu yake aliye mkaribisha. Sasa huyo jirani yake ambaye ni shemeji yake alikuwa anakopa hela kidogo kidogo. Matokeo yake baada ya deni kuwa kubwa akamuambia amuongeze hela kidogo ili huyo shemeji yake amuachie nyumba wanayopakana. Jamaa akawa hana namna kachia nyumba na kapewa hela kidogo kahamia sijui Trgeta A.
sio raisi kihivyo ndugu. Jaji kubuliwa ni issue kubwa sio ya kitoto kama hii. kwanza hapo ni tuhuma tu, si ukute jaji ana hoja zote za utetezi. pia, issue ya utapeli kiwanja, tumesikia upande mmoja, upande wa anayesemekana tapeli hawakumhoji. pia, siku zote wenye nacho huwa wanachukiwa na masikini, wewe ukiona unaona wivu maendeleo ya tajiri, jua ni kapuku. ukiona unaona wivu na kuchukia majaji jua umepambana kuwa jaji na umeona hautakuja kuwa kama wao au unatamani mafanikio yao.Jaji afungue kesi sasa, na sisi tutamfungulia ya kumvua UJAJI kupitia Judicial Srvice Commission
Kwa kawaida anayelalamika ndiye anayefuangua kesi. Mfano, kama A anamlalamikia B, kwamba B kamwibia, A ndiye anatakiwa afungue kesi na atoe ushahidi kuonyesha B alivyomsibia. Endapo A atashindwa kufanya hivyo, B anaweza Kufungua kesi dhidi ya A kwamba A kamdhalilisha kwa kumvunjia heshima machoni mwa jamii.Jaji afungue kesi sasa, na sisi tutamfungulia ya kumvua UJAJI kupitia Judicial Srvice Commission
Kwajins mfumo ulivyooza ukienda kwa utaratibu hupati kitu ni kwenda nao kimbwa mbwa tu. Kama slaa anayosema ni kweli bas njia bora ni kwenda nao bila mfumo maalum.Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Hii nchi imeoza pakubwa sana. Ukifuatilia ziara za Makonda na Jerry utajua madudu yaliyopo. CCM iondoke tu waje wengine nao wajaribu kurekebisha mamboAwali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT.
Je huyu Jaji "Y" ni nani? Na Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?
Haya wataalamu wa mambo ya ARDHI tufungulieni codes.
---
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuwa ameandika barua kwenda kwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia jaji mmoja wa mahakama kukiuka kanuni za taaluma.
Waziri Silaa akihitimisha hoja ya bajeti yake bungeni amesema kuwa mwaka 2015 jaji huyo alikuwa wakili, na akamsaidia tapeli mmoja kuchukua ardhi ya watu.
Amesema warithi wa aliyetapeliwa walipoenda makamani hivi karibuni, wamekuta wakili yule sasa ni jaji, bado akaamua kwa kumnufaisha tapeli.
Amesisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, na kwamba jambo hilo amelichukua yeye ili kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake na haki inapatikana.
Credit: TBC
wewe mbona ukishindikiza Mahakama katika kesi ya Mbowe? au kwa sababu lilikuumiza wewe?Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Haiti vyombo vya habari mara kwa maraMbona Jerry Silaa hawi maarufu kama Makonda??
Kwa kiwango gani haki yaweza kupatikana mahakamani?Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Jerry wa juzi bro, huezi mfananisha na makonda ambaye ametamba miaka kadhaa serikalini.Mbona Jerry Silaa hawi maarufu kama Makonda??
Haki haijifichi,hata ukiiminya vp,itaonekana tu,ni swala la muda tu!!Keep going mhe waziri. Nimeshtushwa na judge yuko included kwenye hili, seems mizizi ni mirefu mno. Mirefu sana na hii ni tip of iceberg
Serekali Kuu inawajibu wa kuingilia Muhimili wowote ule,hasa pale inapo ona haki haitendiki! Na ndiyo maana ya kua na Amiri Jeshi Mkuu, na haya wanayofanya kina Makonda na Silaa ni maagizo ya Mkuu wa Nchi ya kusimamia haki,hadi yule mwanakijiji wa chini kabisa apate haki yake bila ya kutumia nguvu!!Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT.
Je huyu Jaji "Y" ni nani? Na Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?
Haya wataalamu wa mambo ya ARDHI tufungulieni codes.
---
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuwa ameandika barua kwenda kwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia jaji mmoja wa mahakama kukiuka kanuni za taaluma.
Waziri Silaa akihitimisha hoja ya bajeti yake bungeni amesema kuwa mwaka 2015 jaji huyo alikuwa wakili, na akamsaidia tapeli mmoja kuchukua ardhi ya watu.
Amesema warithi wa aliyetapeliwa walipoenda makamani hivi karibuni, wamekuta wakili yule sasa ni jaji, bado akaamua kwa kumnufaisha tapeli.
Amesisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, na kwamba jambo hilo amelichukua yeye ili kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake na haki inapatikana.
Credit: TBC
Wwe lazima utakua wale Mawakili wa mchongo wasio taka kesi ziishe ili waendelee kula kwanza, kesi gani inaendeshwa kwa miaka kumi,kama siyo utapeli huo!?Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda