Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

poa matako mazuri. umekula kwanza?
 
Labda unezaliwa mjini na hujawahi kutembea vijijini, naona unadhania ni vyepesi wananchi kujihamisha makao ya asili.

Serikali kama ingefanya Comprehensive Environmental Impact Assessment ilipaswa kuwahamisha kwa gharama zake kama inavyowajengea nyumba wamasai wanaotoka Ngorongoro kwenda Msomera
 
Hata kama kungekuwa na raia watatu muhimu ni kuhamishwa ili kuokoa maisha ya binadamu kwa kuwa binadamu haishi mara 2. Thamani ya binadamu mmoja ni sawa tu na binadamu 60 Million.

Invariably Rufiji ina wakazi wapatao 200,000 ambao wako kwenye hatari ya kuathirika na mafuriko hayo.
 
Maji hayawezi kuzidi zaidi ya hapo ndio maana wamefungua milango 4 tu,hiyo milango ni maalum kwa ajili ya tahadhari kama hizo,na ndio maana wakaiweka 9,hapo ni shule kubwa sana imetumika mkuu sio kienyeji hivyo unavyofikiri,kwahiyo swala la kubomoka bwawa ondoa shaka,cha kuhofia tu ni hilo la mafuriko kwenye maeneo ya watu,hili linaonekana hakukuchukuliwa tahadhari ya kutosha,wapambane wanavyoweza ili kuondoa kabisa watu kwenye maeneo unapopita mto...
 
- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa, Mwalimu Nyerere aliambiwa kuhusu hii hali, Mwalimu akaona hapana tuachane na hili bwawa
Nyerere aliamua kuachana na hili bwawa lkn akaja mshenzi mmoja mpenda sifa (jiwe) akakaza shingo. Sasa ujinga wake unaligharimu taifa.
 
Kweli kabisa. Source ya uzi wangu ni "The Chanzo" kutoka mtandao wa X, zamani Twitter
 
Tanzania ni ichi kubwa Sana
 
Rufiji mto una maji mengi sana kutokana na mvua , wanatoa maji kwasababu yashafikia kimo cha juu na ili kulinda bwawa hawataki yaongezeke zaidi , hii sasa ujazo wa maji yanayoingia ni sawa na yale yatakayotoka ili kumaintain level , maana yake ni kwamba hata kusingekuwepo bwawa mafuriko yangekuwepo tu...Historia ya huo mji kila kipindi cha mvua kubwa kuna mafuriko , Athari ya Bwawa itakuwa ni kasi ya maji tu , faida ni kwamba taarifa inatolewa ili wananchi kuchukua tahadhari.
Serikali iweke tu utaratibh mzuri wa kuhamisha wakazi waliopo karibu sana na mto huo ili isiwe adha ya mara kwa mara .
 
"cha kuhofia tu ni hilo la mafuriko kwenye maeneo ya watu,hili linaonekana hakukuchukuliwa tahadhari ya kutosha,wapambane wanavyoweza ili kuondoa kabisa watu kwenye maeneo unapopita mto"
 
hili jambo alilisema Waziri Biteko last week, tukaweka thread ya maneno ya Biteko neno kwa neno, bwawa limeelemewa, wana Rufiji wamepewa tahadhari na Naibu Waziri Mkuu, JF admins waoga, punks, wakafuta uzi...
...nashangaa wamechelewa kufuta na huu uzi, huwa wanauganisha na thread ya tamko la serikali ili tujadili tamko la serikali, kama kawaida yenu vilaza wakubwa nyinyi JF operators....
.... wewe Maxence Melo umekuwa chawa, mwoga, dhaifu mkubwa siku hizi, unafutaje thread inayonukuu maneno ya Waziri kwa saab unaona yanaiaibisha serikali ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…