Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

Mabeberu hawatuwazii mema.
Wanataka tusiendelee daah..
Kuna saa tujifunze kwa waliofanikiwa.
Imagine hawa jamaa walikataa huo mradi mwaka 1970 sie tunakuja kuujenga bila utafiti wa kujiridhisha karne ambayo kiakili tumepevuka daaah[emoji25][emoji25][emoji2960]
 
Wamechelewa kuachia maji na kumaliza ujenzi lazima athari kubwa na mbaya zitokee.
Sijajua sababu ya kuchelewesha kumaliza mradi na kuchelewesha kufungulia maji.
Yasingekuwa accumulated yangepita Rufiji na kufanya mafuriko ya kawaida ya mto huo kama climatology ya eneo husika inavyojulikana.
 
Sahihi kabisa kwa hilo
 
Sasa mkuu serikali haikutegemea result hizo za mapema, ndo maana hata wao wamedai walitegemea bwawa litajaa kwa miaka ila wonders ni kwamba limejaa kwa muda mfupi... Je, utawalaumu wao?
 
Aisee inabidi nicheke yaani Kumbe Megawat 200 tu zinahitaji Water body nyingi kiasi hiko?
 
Binafsi najitolea kuishi na wanawake wawili, wawe na umri kati ya 30-45, wakiwa maji ya kunde ama weupe kabisa, jicho la kusinzia, wakiwa na kishundu itapendeza zaidi.

Kwenye shida hizi lazima tuoneshe moyo wa ubinaadamu.
 
Binafsi najitolea kuishi na wanawake wawili, wawe na umri kati ya 30-45, wakiwa maji ya kunde ama weupe kabisa, jicho la kusinzia, wakiwa na kishundu itapendeza zaidi.

Kwenye shida hizi lazima tuoneshe moyo wa ubinaadamu.
Utawaweza?
 

Ukipingana na utaalam wa kweli ni lazima uangamie. Tumezoea kupindisha mambo, hadaa na kuufanya uwongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uwongo.
 
Seriksli ipeleke Jeshi tu likadhibiti hayo maji, wala siyo issue kivile kama watalishirikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…