positive is normal
JF-Expert Member
- Dec 25, 2017
- 520
- 978
Dunia imeisha, Dunia inatikisika, kama ni hivyo jamaa alipanga amdhalilishe huyo binti, makosa ya mtandao kama hayo ndio yakudeal nayo, sio wanahangaika na kina Idris kwa makosa yasio na mashikoMkuu mitandaoni huko hii ndio imekua tabia ya watanzania,juzi kuna jamaa alimnunua binti fulani sasa wameingia Hotelini jamaa akaficha funguo za chumba wakalala,alfajiri binti akaiba simu na pesa ile anaenda kufungua mlango atoke si jamaa akaamka akaanza kumpiga huku anamrecord binti hana nguo
Nmeshindwa kuiangalia hadi mwisho kwakwel, siku zote hasira hasaraNdio hasira hizo,siunaona alivyoomba Samahani na video yenyewe iliishia hapo
Ha ha!Sasa mbona swali umelihamisha na kutoa majibu ambayo hayakuwa na swali....
Unaonesha dalili zote siku ya siku utakimbia kama Vincent wewe aahahahahahhaa.
Hongera kwa kupata mke, umtunze na kumpenda kiasi kila akitaka kuchepuka aghairi...
😅Huo ni wajibu wako umfanyaje, ukitaka tukwambie la kumfanya sasa hivi unamkosa.
Yes , assault and battery. But, sisi ni jamii ya MFUMO DUME. mwanamme kuwa na nyumba ndogo SIO DHAMBI.Hivi hawezi kushtakiwa kwa kosa la kushambulia na kudhuru mwili?!
Unaacha mwanamke wa watu anapigwa, na umemdanganya wewe?.Hilo dume shenzi kabisa, Mimi siwezi kukimbia na huwezi kuniletea upuuzi wa kunijazia watu
Nadhani ni pande za Moshi huko... nimejua jina lake kutokana na huyo mwanamama kumtaja.
Wanawake wengi ndiyo wanafanya wanaume wao walale na ma-house girl. Hata mimi nilikuwa namheshimu sana wife wangu na sikuwa na wazo kabisa la kulala na HG ila siku hizi nimebadilisha mawazo. Ni yeye mwenyewe alianzisha vagi akampiga HG bila sababu yoyote na kumtukana eti analala na mimi. Akaniwekea na mimi vagi kwa kitu amabcho sikutenda. HG aliondoka lakini baadae nikamtafuta na kutimiza kile alichokuwa anatusingizia.Pumbavu sana, jimke ndo hili hata mi nachepuka, unakuta linaongea 24/7 'limachame hili, nilikua na mmoja anaongea hivi akasingizia nalala na hg kwa visu.
Mi nikala hg kikweli ila sikuwai kumgusa before. Aisee katoto kalikua katam sana🙂
Kulingana na maelezo yake kwenye clip pamoja na mandhari na lafudhi inaonekana tukio limehusisha wanawake wa kichaga (wote wawili) na limetokea Moshi. Ila huyu aliyepigwa alikuwa anajitetea kuwa alikuwa anaishi Mwanza. Hatuwezi kujua kama alishahama huko au alisafiri tu kumfuata huyo bwana.Mwanamke mkubwa kama huyo bado anasafiri kufata mwanaume?huo muda angejitafutia zake pesa na kuwa na mwanaune karibu na maeneo anayoishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana wewe bado ni kinda sana na huna uzoefu wowote na maisha. Hata siku moja kinachoyumbisha ndoa siyo ufundi wa kwenye kitanda. Mahusiano na maelewano ya nyumbani kwa ujumla ndiyo yanaamua maisha ya ndoa yaweje. Mwanaume hata akiwa na mwanamke fundi namna gani kama hamheshimu mumewe au ni kuruka njia au ni mgomvi nk ndoa itayumba. Mwanamke hata awe zezeta kitandani lakini akiwa na tabia nzuri ndoa itadumu. Na pia hata akiwa fundi aliyebobea kama ana tabia mbaya ndoa haitadumu.Warokole bhnaa....tatzo hamjitumi Kwenye bed,mpo ka gogo
Vicent popote ulipo mke wako amekufumania ukakimbia ukamwacha kimada wako akila kipigo.
Angalia video
View attachment 1457833