VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

Nmeshangaa hapo pa kumpeleka mchepuko nyumbani anapoishi na mkewe, kwel sijaelewa Vicent alikua na maana gani😂
Simple, mkewe hatimizi majukumu yake. Yuko bize na laifu hashindi nyumbani, na huko anakoshinda kuna uwezekano anabanjuliwa na ben ten!
 
Wewe jamaa hujitambui kabisaa...!! Ukiona unajitoa ufahamu kisa uchi wa mke wa mtu na vihela anavyokupa Jua siku zako zinahesabika. Watu wanalogwa..watu wanauliwaa kisa wake za watu alafu nyie mkiokotwa msituni mmechinjwa watu wanaanza kuwaonea huruma kumbe ni upuuzi wako mwenyewe.


Mke wa mtu ni sumu ndugu wanaosema hivyo sio wajinga wewe kijana wa juzi unajiona shababi akati mume wake akimfukuza aje kwako hata Chupi huwezi mnunulia.. Nasema huyo jamaa ningekuwa ni mimi hakika ungekuwa kilema leo hii maana kukua ningekupunguzia mzigo wa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka umeandika kwa hisia kari sana mpaka na mm nmeona uchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada zetu wa Kichagga mjitahidi kubalance mapenzi na kazi.
 

Maisha hayana uzoefu mkuu,makinda wa leo kinachowatofautisha ni umri tu si maujuzi au elimu...

Upo sahihi kwa mtazamo wako kwa akiasi fulani Ila usikariri, maisha yanabadilka ayo mambo ni enz izo,sku hz watu wanachepuka kutokana na kutokuridhika ktandani,mwanmke akiwa mvivu ktandan ata awe na adabu vp sawa chakula bila chumvi ata kiwe kzur vp kikikosa chumv kinapoteza Radha...

Ahahaa....sasa huyo mwanmke apo analialia nn,eti ameoteshwa mme ake anachepuka,kwann asioteshwe kwann mme wake kachepuka....
 
Hapo huyo anaerekediwa ndio mshindi, halafu huyo mwanamke aliemfumania mmewake anaonekana ni m'baya sana
 
Maneno na matusi anayoyatoa mwenye mume inaonesha dhahiri huko ndani ni zaidi ya hapo kwa mumewe, hana kauli zenye upendo kwa mumewe, hamuheshimu mumewe, anamjibu mumewe lolote limjaalo.
Hakukuwa na haja ya kumuumiza na kumdhalilisha mwanamke mwenzie namna hiyo mbele za watu na jamii kwa ujumla. Eti Mungu kanionesha!!! Mungu yupi huyo anayemwamini na matusi yake mazito mazito hivyo + unyama aliomtendea mwenzie? Ana bahati kakutana na mwanamke mstaarabu PANGESHIKIKA.
 

Dah Kasie basi tu yupo Dad, yaani ningepanga foleni. You are so romantic!
 
Mimi ningekua jamaa namuoa huyu aliyepigwa.
 
huyu mama aliye porwa mme hana akili ni haki afanyiwe haya. anajiona bora kuliko wenzie utakuwa hata ndani ana kauli za kibwege bwege anaambiwa kaa style hii analeta maneno kama 'mimi siko kahaba' mme anatafuta mauno nje anakuja na upimbi wake eti 'vicent ndo wa kutembea na mtu kama huyu' pumbavu zake
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…