Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

Ilipaswa askari afe sijui nini kimetokea kwa dereva. Cold blood government
 
Dereva alisomea driving mabibo sokoni sio bure
 
Aisee hii hatari sana kumbe gari ambalo lilipata ajari masiku kadhaa nyuma wakati wakielekea kwenye kampeni lilikuwa la mstaafu Kikwete? I hope anaendelea safi

Your browser is not able to display this video.
 
Bado waganga na mashaeikh kufunga Rovela.CCM mtakoma ila mpo kwenye VPN mnaogopa kuja kusifu.
 
Kwa nini hasipumzike? mbona washindani hawafanyi kampeni? Shida ipo wapi mpaka na yeye azunguke nchi nzima na mgombea wa CCM.
 
Video ya kwanza, gari katika msafara limeacha njia na kutumbukia mtaroni
Your browser is not able to display this video.



Video ya pili, ni close-up ya ajali hiyo na manusura wake

Your browser is not able to display this video.



Umegundua nini?
 
Hongera sana dereva wa msafara kwa kukwepa kumgonga askari mtoto wa maskini kapuku wazazi wake wakiwa kule mwembetogwa wakisubiri awatumie hela ya sukari na madaftari ya mdogo wake. Unastahili pongezi nyingi sana wewe ni dereva makini na mzalendo wa kweli
 
Situmii VPN lakini naikamata JF kwa vizuri sana.
Hapo kuna uzembe wa coordination kwa vyombo vyetu.
Huyu askari masikini angeweza kupoteza maisha kutokana na mipangilio mibaya ya kazi katika ulinzi wa msafara.
Kama huo ni msafara wa JK, anahitaji ulinzi kama wa Rais, kwa siku za leo?
Wa kulaumiwa hapo nani?
 
Kwahy point ya mada ni ipi kati ya ambulance na gari lililopata ajali?

Mana kwenye video na hizo picha hakuna ambulance.
Mkuu nafaham sisi waafrika tunajua vyote!!!.

Ila kwenye kuelezea jambo kuna uwasilishaji wa aina tofauti ila kama ulitaka niingie moja kwa moja as unataka isingewezekana.

My point view ni askali aliyepona kwenye ajali.
 
My point view ni askali aliyepona kwenye ajali.
Mkuu mimi concern yangu kubwa ni lack of coordinated planning katika haya mambo.
Tatizo au ushujaa si kumkosakosa huyu kijana askari ambaye sasa angekuwa marehemu, tatizo langu usalama wa msafara unachukuliwaje?
-Je ni sawa kukaa pembeni mwa barabara kwa kijana askari wakati msafara unaenda spidi kali?
-Huyo dereva wa V8, kwa nini anataka kuovertake gari kupitia KUSHOTO(blind spot) ya gari lililo kulia kwake?
-Na je , ni muhimu magari hayo kwenda mawili mawili sambamba , badala ya single file?

Vyombo vyetu vya usalama vina jukumu ya kujifunza kutokana na hii ajali, la sivyo it is bound to happen again na matokeo yanaweza kuwa mabaya zaidi.
 
Wafe tu mbona kina soka, mdude, chaula mpaka sasa familia zao hazijui wapo wapi tuje tuwaonee huruma watu ambao wanakufa na miiili yao tunaiyona acha wafe na wao familia zao zipate machungu kama familia ambazo hazijui ndugu zao wapo wapi
Siyo vizuri kuwa na roho kama hiyo.
Askari ni wenzetu, vijana wetu, mume wa mtu, ndugu yetu.
Makosa ya nyuma hayahalalishi kutowaonea huruma katika kazi zao hatarishi, at any rate siyo wote wanaohusika na kazi chafu.
Ukitokea msiba wa askari kama ni ndugu yako uchungu ni ule ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…