Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

Siyo vizuri kuwa na roho kama hiyo.
Askari ni wenzetu, vijana wetu, mume wa mtu, ndugu yetu.
Makosa ya nyuma hayahalalishi kutowaonea huruma katika kazi zao hatarishi, at any rate siyo wote wanaohusika na kazi chafu.
Ukitokea msiba wa askari kama ni ndugu yako uchungu ni ule ule.
Yani watu wanapotea wanakufa huna huruma ila unahuruma na hawa shame on you
 
... -Huyo dereva wa V8, kwa nini anataka kuovertake gari kupitia KUSHOTO(blind spot) ya gari lililo kulia kwake?
Tupo pamoja ila ...
Katika convoy ya viongozi wakuu wa nchi ukiona gari ya escort inaovertake iwe kulia au kushoto ujue wamewasiliana ili kuwahi tukio mbele.

Kilichotokea dereva wa gari ya kiongozi hakumpa chance ya kupita naye akakaza, kikichotokea ndiyo hiki kimetufanya tujadili.
 
Siyo vizuri kuwa na roho kama hiyo.
Askari ni wenzetu, vijana wetu, mume wa mtu, ndugu yetu.
Makosa ya nyuma hayahalalishi kutowaonea huruma katika kazi zao hatarishi, at any rate siyo wote wanaohusika na kazi chafu.
Ukitokea msiba wa askari kama ni ndugu yako uchungu ni ule ule.
Mkuu angalia update pale juu 😂 mh,kikwete kasema gari lile halijui ila anajua ni la rafiki yake 😂, shame to this country!.
 
Tupo pamoja ila ...
Katika convoy ya viongozi wakuu wa nchi ukiona gari ya escort inaovertake iwe kulia au kushoto ujue wamewasiliana ili kuwahi tukio mbele.

Kilichotokea dereva wa gari ya kiongozi hakumpa chance ya kupita naye akakaza, kikichotokea ndiyo hiki kimetufanya tujadili.
Hao si watu wa usalama.
Wahuni!
 
Mkuu angalia update pale juu 😂 mh,kikwete kasema gari lile halijui ila anajua ni la rafiki yake 😂, shame to this country!.
Hayo maneno haya hata mantiki kwa intelligence ya kawaida tu.
Rafiki anaingiliaje msafara wa kiongozi, sembuse kuovertake.
Doesn't make sense, pengine mtoa habari kalewa!
 
Kuna video kabisa mzee kikwete anaongea hayo si mtoa habari tu!.
 
Back
Top Bottom