REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Yani watu wanapotea wanakufa huna huruma ila unahuruma na hawa shame on youSiyo vizuri kuwa na roho kama hiyo.
Askari ni wenzetu, vijana wetu, mume wa mtu, ndugu yetu.
Makosa ya nyuma hayahalalishi kutowaonea huruma katika kazi zao hatarishi, at any rate siyo wote wanaohusika na kazi chafu.
Ukitokea msiba wa askari kama ni ndugu yako uchungu ni ule ule.
Tupo pamoja ila ...... -Huyo dereva wa V8, kwa nini anataka kuovertake gari kupitia KUSHOTO(blind spot) ya gari lililo kulia kwake?
Mkuu angalia update pale juu π mh,kikwete kasema gari lile halijui ila anajua ni la rafiki yake π, shame to this country!.Siyo vizuri kuwa na roho kama hiyo.
Askari ni wenzetu, vijana wetu, mume wa mtu, ndugu yetu.
Makosa ya nyuma hayahalalishi kutowaonea huruma katika kazi zao hatarishi, at any rate siyo wote wanaohusika na kazi chafu.
Ukitokea msiba wa askari kama ni ndugu yako uchungu ni ule ule.
Hao si watu wa usalama.Tupo pamoja ila ...
Katika convoy ya viongozi wakuu wa nchi ukiona gari ya escort inaovertake iwe kulia au kushoto ujue wamewasiliana ili kuwahi tukio mbele.
Kilichotokea dereva wa gari ya kiongozi hakumpa chance ya kupita naye akakaza, kikichotokea ndiyo hiki kimetufanya tujadili.
Waliokufa walikuwa hapo kwenye ajali au?Yani watu wanapotea wanakufa huna huruma ila unahuruma na hawa shame on you
Hayo maneno haya hata mantiki kwa intelligence ya kawaida tu.Mkuu angalia update pale juu π mh,kikwete kasema gari lile halijui ila anajua ni la rafiki yake π, shame to this country!.
Kuna video kabisa mzee kikwete anaongea hayo si mtoa habari tu!.Hayo maneno haya hata mantiki kwa intelligence ya kawaida tu.
Rafiki anaingiliaje msafara wa kiongozi, sembuse kuovertake.
Doesn't make sense, pengine mtoa habari kalewa!