100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
- Thread starter
-
- #21
Ni mama yake mzazi huyo, huyo mdogo ni dada yake..Hiyo nyumba haina baba that's why unaona ujinga huo,na siyo muda huyo dogo anaenda kumpiga miti vibaya sana huyo sijui mdogo wake sijui mama mdogo anayejipitisha pitisha hapo.
Haya ndio majibu ya huyo mama baada ya watu kumkosoa mitandaoni, anamwambia mtoto am your first girlfriend...Mtoto wa kiume anamngʼangʼania mam yake am'busu unaona sawa?
Ni KenyansLugha gani wanaongea? Aliyesikia a niambie.
Me naona... Mtoto anaonekana hayupo OK kiafya kiakili kwa kuzaliwa , hayo kama ya kuona TV Mama yake anapitia mengi.. La sivyo ange act kivingine..
Kikuyu.Lugha gani wanaongea? Aliyesikia a niambie.
Me naona... Mtoto anaonekana hayupo OK kiafya kiakili kwa kuzaliwa , hayo kama ya kuona TV Mama yake anapitia mengi.. La sivyo ange act kivingine..
😂😂😂 khaaah, huogopi? Aliyekua ana record ni baba yao hao watoto.Sema uyo mama si haba nakuomba kama ntaweza kupata namba ya huyo mama tafadhali ili niwalee Hao watoto kwenye misingi imara
😂😂😂Dogo kama beberu lenye nyege halijui mama wala dada waache wamchekee tu!
Wala hata, huyu mtoto atakuja kuharibika vibaya sana.Dogo ana nyege mbaya huyo wamtafutie mfanyakazi wa ndani amchezee la si hivyo atat*omba mmoja wao hapo.
Nilikua najiuliza nani alikua anachukua hiyo video? Huu sio uigizaji?😂😂😂 khaaah, huogopi? Aliyekua ana record ni baba yao hao watoto.
Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150
Aisee, ushamba umenizidi...Ushamba wako tu, it's very normal
Ni mama wa huyo mtoto mkuu...Nilikua najiuliza nani alikua anachukua hiyo video? Huu sio uigizaji?
Ni kweli wahusika tunaowaona hapo hawakua wakijua kama wanarekodiwa?
Kuna hili la uwezekano kua huyo sio mama ya huyo mtoto na kwamba huyo mwanamke ni content creator
Video ya pili ndio imekaa kama scene ya movie. Ukiangalia ukaribu wa picha ilivyochukuliwa, sauti ipo loud and clear na mapozi mengi tu yanaonyesha inaweza kua uigizaji
Ni maoni yangu tu lakini
Halafu akitoka nje atataka kubehave hivyo na kila mwanamke anayepita karibu yake, tutampigaDogo kama beberu lenye nyege halijui mama wala dada waache wamchekee tu!
Huyu mama ni Mganda😂 sio mchezoHaya ndio majibu ya huyo mama baada ya watu kumkosoa mitandaoni, anamwambia mtoto am your first girlfriend...
Sidhani kama hii familia ina mzazi wa kiume..
View attachment 3672161