Kiranja wa Kijiweni
JF-Expert Member
- Mar 9, 2023
- 593
- 1,072
Kijana anatakiwa awahiwe huyo wamtenganishe na mama yake, apelekwe Kijijini huko ashike jembe nyege ziishe.
Tazama mtoto anavyomshika mama yake kiuno...
Oooh basi sawa.Wewe utakuwa unalea kama huyu dada wa Kikenya.
Kuna mama Mmoja (nurse) ni mstafu daaah alimlea mtoto wake wa kiume malezi ya Ajab sana.
Imagine, mwanaume wa miaka 37 bado anaishi kwa Mama yake, akiamka asubuhi ni pombe tu, mwanaume miaka 37 unanuniliwa maziwa.
Wadada waleeni watoto vizuri, ili baadae wawe msaada kwenye Jamii na kwa Familia.
Mtoto wa kiume anadekezwa kama mtoto wa kike.
Hii ishu usukumani haipo kabisa.
OkayOooh basi sawa.
Kichwa chote kikubwa hivyo ulichopewa ndiyo kimekutuma useme hivi?Ameamua yeye mfuate umkeemee
Wengine humu unabishana na wagumba walishatoaga mimba mpaka mwisho wakatoa vizazi vyenyewe so wapo wapo tu hakuna wanachojua kuhusu malezi kwao lolote tu bora linafanywa na mzazi (asiyejielewa) wanafikiri ni kawaida.Wewe utakuwa unalea kama huyu dada wa Kikenya.
Kuna mama Mmoja (nurse) ni mstafu daaah alimlea mtoto wake wa kiume malezi ya Ajab sana.
Imagine, mwanaume wa miaka 37 bado anaishi kwa Mama yake, akiamka asubuhi ni pombe tu, mwanaume miaka 37 unanuniliwa maziwa.
Wadada waleeni watoto vizuri, ili baadae wawe msaada kwenye Jamii na kwa Familia.
Mtoto wa kiume anadekezwa kama mtoto wa kike.
Hii ishu usukumani haipo kabisa.
SasaKichwa chote kikubwa hivyo ulichopewa ndiyo kimekutuma useme hivi?
Mkuu kwasasa Dunia inaenda kasi na hiki Kizazi kinachoitwa Gen Z.Wengine humu unabishana na wagumba walishatoaga mimba mpaka mwisho wakatoa vizazi vyenyewe so wapo wapo tu hakuna wanachojua kuhusu malezi kwao lolote tu bora linafanywa na mzazi (asiyejielewa) wanafikiri ni kawaida.
Mimi nina 40+ sijawahi ktk maisha yangu kumkumbatia mama yangu na kwanza kwanini nimkumbatie?Lakini hapo toto linamshika shika mama yake likitaka limbusu mashavuni watu wanaona sawa!
Nilikuwa napita huko x, nikakutana na hii video...
Hii ipo sawa kweli kwa mtoto kuwa na mazoea ya namna hii kwa mama yake mzazi?
View attachment 3672150
Wanawake siku hizi analea mtoto wa kiume shoga au atalala na mwanae. Wanawake wa mijini siku hizi hawana adabu.Ni mama yake mzazi huyo, huyo mdogo ni dada yake..
Halafu hapohapo ndio ndio unataka watu tukuulize maswali ya ndoa,daah huu utani huu!Ushamba wako tu, it's very normal