Kwa hiyo ndio mama ako samia akaamua kutumia kodi za watanzia kuwalipa ma homeless wa kimexico kukabiliana na maandamano yaliyobuma?Semeni ukweli tu; MAANDAMANO YENU MLIYORATIBIWA NA KIGAGULA MANGE YAMEBUMA
Yaan hata aibu hamuoni jinsi mnavyohaha hili mama yenu aonekane bado anakubalika?