GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Inaelezwa kuwa diaspora wa Tanzania waishio Marekani wanaandamana leo huko kuipinga serikali ya Rais Samia hususani kuhusu utekaji, upoteaji wa Raia, na kuuwawa kwa raia katika mazingira yanayohusiana na utekaji au yanayotatanisha. Lakini wakati huo huo diaspora wa nchi nyingine (wasio Watanzania) wanaandamana kwa kulipwa ili kuiunga mkono serikali ya Rais Samia.

Je, diaspora ambao ni raia wa Mexico waishio Washington DC, Marekani wamelipwa ili wakae kwa muda wa saa moja kuonyesha kuwa Rais Samia anapendwa? Je, hizi pesa za walipa kodi huku Tanzania zinakwenda Marekani kuwalipa watu wasiokuwa na ajira au Watanzania walio na pesa huko ndio wanafanya mambo hayo?

Ina maana kuwa 'Wadosi' wa Mexico wanapata 'dei waka' au kibarua cha siku kwa kulipwa ili washiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Samia?
Basi nautuambie basi sura zote zinazoonekana kwenye mabango zina asili ya Congo!
 
Em taja moja ya hoja zao ambazo unahisi inaipaka matope Taifa?

Moja tu.
Ile appearance tu ya hao mabwege 7 kujikusanya na kwenda ofisi za IMF wakijifanya ni Watanzania wanaonyanyaswa na Serikali ni ubwege.
 
Kwa hela zinavyotumika kwenye hichi kipindi, Samia akitoboa, wafanyabiashara mjiandae.
 
Ulisha ona kitu kama hiki wapi, mkuu 'Mshana jr'. Hapa tunashughulika na kundi la watu hatari sana

Unacho waeleza waTanzania waziwazi ni kwamba wawe tayari sasa kupambana na majeshi ya kulipwa toka nje kumlinda huyo mama yako anayekufuga wewe kama nguruwe!
Kwani nguruwe ana shida gani? Shauri yako kama wewe ni Islam au Msabato. Mimi RC sina shida na kitimoto
 
🚮🚮🚮🚮
Watu mabwege ndiyo wanaweza kumsikiliza huyu kidudu mtu
Screenshot_20251014_110615_Facebook.jpg
 
Nimecheka sana baada ya kutazama hiyo video, ila dah wabongo bana.
 
anyway, nitarudi kabla ya tarehe 29, alijisemea mzee kadiko akibeba rungu lake kuingia ndani kulala

fullstop, kwishaaaa
 
Njmeipenda hii. Haijalishi ni wa Mexico au Wahindi au Warundi lakini wamebeba mabango ya Samia. Hii ndiyo siasa, unamkabili adui kwa namna alivyokuja.

Tofauti ya hawa na akina Mange iko wapi ? Maana nao hawakai hapa lakini wanataka kuipaka nchi matope wakati wako Marekani.

Kila mmoja ashinde mechi zake
kwa hiyo hivyo vitendo huko nje ni ant mange huko nje ya nchi?
 
Kutawaliwa na jeshi bora tuendelee na hawa hawa majizi
Aisee kwa comment bila shaka na wewe utakuwa ni jizi tu kama haya mashetani..

Wewe unaona wana jema hawa ambao wanakuibia kodi zako kwa mabilioni na bado pia wanaweza kukua bila sababu.?

Binafsi mimi niko tayari nitawaliwe hata na mtu kama Hitler au Munsolin lakin sio hili genge la wahuni likiongozwa na shetani mkuu sa100.
 
Wanajeshi wetu hawana uwezo huo na wao wataishia kuwa mafisadi tu

Hii nchi inahitaj katiba mpya tu
 
Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Inaelezwa kuwa diaspora wa Tanzania waishio Marekani wanaandamana leo huko kuipinga serikali ya Rais Samia hususani kuhusu utekaji, upoteaji wa Raia, na kuuwawa kwa raia katika mazingira yanayohusiana na utekaji au yanayotatanisha. Lakini wakati huo huo diaspora wa nchi nyingine (wasio Watanzania) wanaandamana kwa kulipwa ili kuiunga mkono serikali ya Rais Samia.

Je, diaspora ambao ni raia wa Mexico waishio Washington DC, Marekani wamelipwa ili wakae kwa muda wa saa moja kuonyesha kuwa Rais Samia anapendwa? Je, hizi pesa za walipa kodi huku Tanzania zinakwenda Marekani kuwalipa watu wasiokuwa na ajira au Watanzania walio na pesa huko ndio wanafanya mambo hayo?

Ina maana kuwa 'Wadosi' wa Mexico wanapata 'dei waka' au kibarua cha siku kwa kulipwa ili washiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Samia?
IT IS A SHAME, YOU ARE USING TAXPAYER MONEY TO PROP US SAMIA SULUHU HASSAN WHO IS UNQUALIFIED FOR POSITION OF PRESIDENCY.
 
Kwani nguruwe ana shida gani? Shauri yako kama wewe ni Islam au Msabato. Mimi RC sina shida na kitimoto
Huo ni mfano wa mfugo tu kukuonyesha sifa yako kuwa unafugwa na huyo Samia na Genge lake na maisha yako kama mfugo wake yanamtegemea yeye. Ndiyo maana akili yote kichwani imelala; haitambui kizuri au kibaya.
 
Back
Top Bottom