Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Kila mmoja ashinde mechi zake. CHADEMA wanatumia diaspora waliokimbia Tanzania kujenga hoja zao. Na CCM wanatumia hao hooligans or call them jobless kubeba mabango ya kumsifia Rais wao.Huna akili
Ni juu ya hadhira kuamua wamuamini nani!!