GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

GE2025 Video ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ubalozi umewakodi wauza madawa ya kulevya toka Mexico kufanya huo upuuzi. Aibu sana serikali kushirikiana na wahalifu wa madawa ya kulevya
 
Huko duniani hata ukiwa na msiba ukitaka watu wa kulia kwa kukodishwa, wapo wa kumwaga.
Kama Samia na Genge wanatafuta Jeshi la kukodisha litakalo wabakisha madarakani waTanzania watapambana nalo.
 
Huo ni mfano wa mfugo tu kukuonyesha sifa yako kuwa unafugwa na huyo Samia na Genge lake na maisha yako kama mfugo wake yanamtegemea yeye. Ndiyo maana akili yote kichwani imelala; haitambui kizuri au kibaya.
Hata wewe unafugwa na mke wako
 
Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Inaelezwa kuwa diaspora wa Tanzania waishio Marekani wanaandamana leo huko kuipinga serikali ya Rais Samia hususani kuhusu utekaji, upoteaji wa Raia, na kuuwawa kwa raia katika mazingira yanayohusiana na utekaji au yanayotatanisha. Lakini wakati huo huo diaspora wa nchi nyingine (wasio Watanzania) wanaandamana kwa kulipwa ili kuiunga mkono serikali ya Rais Samia.

Je, diaspora ambao ni raia wa Mexico waishio Washington DC, Marekani wamelipwa ili wakae kwa muda wa saa moja kuonyesha kuwa Rais Samia anapendwa? Je, hizi pesa za walipa kodi huku Tanzania zinakwenda Marekani kuwalipa watu wasiokuwa na ajira au Watanzania walio na pesa huko ndio wanafanya mambo hayo?

Ina maana kuwa 'Wadosi' wa Mexico wanapata 'dei waka' au kibarua cha siku kwa kulipwa ili washiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Samia?
Hii inakuonyesha namna mlengwa asivyo mzalendo. Hata hivyo, hana makosa kwani ni expert aliyeletwa toka ugenini Zanzibar.
 
Huyu mama na watu wake ni hawana uwezo kabisa wa kufikiria. Hii ni aibu kubwa sana kwa kweli. Yani sijui yeye mwenyewe yukoje, na waliomzunguka nao sijui wakoje. Maana kila linalotoka kwao ni boko. Upuuzi tu. Nchi imeingia kwenye ujinga wa hali ya juu.
 
Hebu hii video niwashirikishe Wakenya wenzangu ili tuitumie kuwacheka wabongo kwe yale matani yetu, yaani huu ni ujuha hadi raha.
Mngekodi hata Wakenya wanaojua kiswahili.
 
Hahahahahaaaa!
Minyumbu ya chadema mwaka huu mtajua kama hamjui mamamamae zenu. Wenu nyie hawajalipwa, wa wengine ndo wamelipwa? Acheni ufala wenu, kama mna haki ya kumchukia basi wengine pia Wana haki ya kumpenda.

Semeni ukweli tu; MAANDAMANO YENU YAMEBUMA!!!
 
Huyu mama na watu wake ni hawana uwezo kabisa wa kufikiria. Hii ni aibu kubwa sana kwa kweli. Yani sijui yeye mwenyewe yukoje, na waliomzunguka nao sijui wakoje. Maana kila linalotoka kwao ni boko. Upuuzi tu. Nchi imeingia kwenye ujinga wa hali ya juu.
Semeni ukweli tu; MAANDAMANO YENU MLIYORATIBIWA NA KIGAGULA MANGE YAMEBUMA!!
 
The end (of her) is nearer than you think.... And i am talking about maandamano ya 29. BTW hawa siyo watu wa kulipwa dola 10. Nakuhakikishia kwamba wamelipwa fedha ya kutosha
Semeni ukweli tu; MAANDAMANO YENU MLIYORATIBIWA NA KIGAGULA MANGE YAMEBUMA
 
Soo...sooo shameful, hapa napo zilizotumika kuwalipa hawa mexicans ni kodi za watanganyika daah?

Na huyo dada hapo
anayejibishana na jamaa ndio organiser wa hili tukio?

Kwamba alipewa kabisa fungu la kuwakodi hawa mabwanyenye wa kimexico hili waje na hii counter defensive approach ya maandamano yaliyoandaliwa na akina Mange?.... daah mama Abdul mbona anatapa tapa sana?

Hivi huyo mama huwa anapokea tu kila aina ya ushauri anaopewa na machawa eti ehee?

Sasa si ni vituko hivi jaman? Umewahi kuona wapi maandamano ya kumpongeza raisi ugenini? Hakika ccm imejaza mafisadi na mazero brain..

Bila shaka huu ni ushauri wa Bashite.
Semeni ukweli tu; MAANDAMANO YENU MLIYORATIBIWA NA KIGAGULA MANGE YAMEBUMA
 
Video inasambaa mtandaoni ikionesha Watu Wasio na Asili ya Tanzania wala hawajui Kiswahili wakiwa mtaani na mabango yenye Picha ya Rais Samia wakisifu sera zake

Inaelezwa kuwa diaspora wa Tanzania waishio Marekani wanaandamana leo huko kuipinga serikali ya Rais Samia hususani kuhusu utekaji, upoteaji wa Raia, na kuuwawa kwa raia katika mazingira yanayohusiana na utekaji au yanayotatanisha. Lakini wakati huo huo diaspora wa nchi nyingine (wasio Watanzania) wanaandamana kwa kulipwa ili kuiunga mkono serikali ya Rais Samia.

Je, diaspora ambao ni raia wa Mexico waishio Washington DC, Marekani wamelipwa ili wakae kwa muda wa saa moja kuonyesha kuwa Rais Samia anapendwa? Je, hizi pesa za walipa kodi huku Tanzania zinakwenda Marekani kuwalipa watu wasiokuwa na ajira au Watanzania walio na pesa huko ndio wanafanya mambo hayo?

Ina maana kuwa 'Wadosi' wa Mexico wanapata 'dei waka' au kibarua cha siku kwa kulipwa ili washiriki maandamano ya kumuunga mkono Rais Samia?
Hawa Mexicans ni hobos(machokoraa homeless) ambao walikuwa na binti wa Mahita(aliyewahi kuwa IGP) ila posho za kuwalipa zimetoka ubalozini I mean wamelipwa na ubalozi wa Tanzania Washington DC.
Wabongo walivyowakomalia kwa maswali wakaona kimenuka wakadai ujira wao wakalipwa na kusepa, ndipo serikali ilipofika hapa huyu rais hajielewi, hana haya na anazidi kuizamisha nchi matopeni.
 
Walete hao akina Mange na Mwang'ombe waje wanadamane hapa. Kama wameamua kuandamana nje kuichafua nchi, tunapambana nao huko huko kwa jinsi hiyo hiyo
Nchi inajichafua yenyewe, nchi haichafuliwi na haiwezekani kuchafuliwa kama haina uchafu. This is simply exposing what really happening in the country.
 
Mpambano ukishakolea huchagui silaha, yakwake vs yakwenu, ni ntiti ilimradi kila mmoja anasaka ushindi.
ccm hawawez kushinda , huez kushinda kwa kushambulia kamb yako ( ccm wanafuja pesa na mali za Tz )
 
Back
Top Bottom